Justice

Justice

Mabanda : mwanaume mmoja aishi kwa kujificha akihofia kuuwawa na viongozi wa chama cha CNDD-FDD

Alain Ndayikunda alitoroka kwake tangu mwezi mmoja uliopita. Anahofia kuuwawa na mkuu wa kitongoji cha Mara pamoja na mkuu wa chama cha CNDD-FDD eneo hilo wanaokiri hadharani. Mkaazi mwingine anazuiliwa

Justice

Rwanda : rais Kagame atoa msamaha kwa Paul Rusesabagina

Adhabu ya kifungo dhidi ya Paul Rusesabagina na Callixte Nsabimana alias Sankara ilifutwa kupitia msamaha wa rais. Walikuwa wamekatiwa mmoja kifungo cha miaka 25 jela na mwingine miaka 15 jela.

Security

Goma : a journalist nears death

Journalist Mérite Bahongwere of the Interview.cd media narrowly escaped an attack by a gunman in the Kasika neighborhood, while returning home at around 9 p.m. on Wednesday. It is in

Governance

Rumonge: two men including a CNDD-FDD official sentenced for outrage on authority

Both people are from Mutambara hill in the Gatete zone, in the commune and province of Rumonge (southwest of Burundi). They were among others, convicted for outrage on authority after

Justice

Bujumbura: the prosecutor to the Ntahangwa Court of Appeal and his substitute in jail

Merveille de Dieu Cishhayo, Attorney General at the Ntahangwa Court of Appeal in the north of the economic capital Bujumbura and Anastase Habonimana, Deputy General to the same court are

Society

Gitega : watuhumiwa watano wa mapenzi ya jinsia moja wameachiwa huru kwa jumla ya wale 24 wanaozuiliwa jela

Uamzi wa kuwaachilia huru umechukuwa jumatatu hii tarehe 20 machi, amethibitisha hayo mmoja kati ya mawakili waliotetea kundi hilo. Watano hao walioachiliwa huru walikuwa katika kundi la watu 24 wanaotuhumiwa

Justice

Gitega: Burundian justice frees five alleged homosexuals out of 24 in detention

Their release took place on Monday March 20, confirmed one of the lawyers assisting the group. The five former detainees are part of a group of 24 suspected homosexuals who

Security

Rumonge: three men including a ruling party official locked up

Three men have been detained at the police station in Rumonge province (southwestern Burundi) since last Saturday. They are all from Mutambara hill in the Gatete zone, Rumonge commune, in

Justice

Goma: ma mia ya visa vya ubakaji yaripotiwa eneo la Kanyarutchinya

Visa vya unyanyasaji wa kijinsia viliongezeka katika kijiji cha Kanyarutchinya wilayani Nyiragongo na Bulengo magharibi ya mji wa Goma Kivu kaskazini tangu kuibuka tena kwa kundi la M23. Viongozi wa

Security

Goma : hundreds of cases of sexual violence recorded in Kanyarutchinya

Cases of sexual violence, since the resurgence of the M23, have gone on the rise in the village of Kanyarutchinya, located in Nyiragongo territory and in Bulengo, west of the