Jamii

Jamii

Burundi : serikali iliamuru kusamehe ushuru kwa baadhi ya bidhaa za vyakula kutoka nje ya nchi

Serikali ilichukuwa uamzi wa kusamehe ushuru kwa baadhi ya bidhaa mahitajio muhimu kama mchele, maharagwe, mbegu za mahindi, sukari ,…. kupitia tangazo la 30 machi 2023. Wizara ya fedha ilifahamisha

Haki za binadamu

Burundi : shirikisho la vyama viwili vya kutetea haki za wafanyakazi vinaomba CNDS kuingilia kati katika mzozo dhidi ya serikali

Mashirikisho ya vyama vya wafanyakazi COSYBU na CSB vinapaza sauti dhidi ya kusimamishwa kwa tozo za michango ya wajumbe wao. Serikali iliweka hatua ya kupiga marufuku michango ya wajumbe wa

Jamii

Bujumbura : wakaazi wasumbuka kupata maji safi

Maji safi yamekuwa adimu katika kata za kaskazini na kusini mwa jiji kuu la kiuchumi. Katika baadhi ya kata, wakaazi wanaweza kumaliza wiki moja bila kupata huduma hiyo. Wananchi wanahofia

Mazingira

Gatumba : mafuriko yalazimisha familia nyingi kukimbia

Makaazi mengi ya kata tisa za kijiji cha Gatumba tarafa ya Mutimbuzi (mkoa wa Bujumbura magharibi mwa Burundi) yalivamiwa na maji ya mto Rusizi (unaotenganisha Burundi na DRC) siku chache

Wakimbizi

Kivu-kaskazini : MSF yatahadharisha kuhusu janga la kibinadamu kutokea eneo la mashariki mwa DRC kutokana na usalama mdogo

Janga la kibinadamu linaendelea kutokea katika mkoa wa Kivu kaskazini mashariki mwa DRC, lilitahadharisha shirika la MSF la waganga wasiokuwa na mipaka. Shirika hilo la waganga la kimataifa linatoa mwito