Usalama

Usalama

DRC (Kivu Kaskazini): M23 inarudi kwenye nyadhifa za zamani

Vuguvugu la Machi 23 (M23) limeteka upya maeneo ambayo iliyaacha kama sehemu ya usitishaji mapigano uliotakiwa na Wakuu wa Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki tangu Desemba 2022. Kamati ya

Haki

Goma : miili ya watu zaidi ya arobaini yazikwa kwa amri ya serikali licha ya upinzani wa familia na mashirika ya kirai

Angalau miili ya watu 40 ilizikwa jumatatu hii tarehe 18 septemba 2023 kwa amri ya gavana wa mkoa wa kivu kaskazini mashariki mwa jamuhuri ya kidemokrasia ya Kongo licha ya

Usalama

Cibitoke: wanajeshi sita wasimamishwa baada ya kupurukushana na Imbonerakure

Wanajeshi hao sita walikuwa wakifanyia kazi kwenye kituo cha Ruhagarika . Ni katika tarafa ya Buganda ndani ya mkoa wa Cibitoke kaskazini magharibi mwa Burundi karibu na mto wa Rusizi

Usalama

Bujumbura : uimarishwaji wa usalama mbele ya RTNB wasababisha wasi wasi

Wafanyakazi wa radio na televisheni ya Burin di (RTNB) kituo cha matangazo cha serikali, walishituka kuona ijumaa asubuhi, kikosi kikubwa cha usalama pamoja na uwepo wa mbwa wa polisi kwenye

Wakimbizi

Nyarugusu (Tanzania) : askali wanne wasimamishwa kwa tuhuma za jaribio la wizi

Askali polisi walifumaniwa wakifanya wizi ndani ya makaazi ya mfanyabiashara mmoja katika kambi ya Nyarugusu. Polisi hao walikamatwa pamoja na walinzi wa kawaida watatu wa kambi. Wakimbizi wanaomba adhabu kali

Usalama

Gihanga : bibi kizee wa zaidi ya miaka sabini auwawa

Mwanamke mwenye wa miaka 75 alikatwa kichwa na watu wasiojulikana bado katika kijiji cha Rugunga tarafa ya Gihanga mkoa wa Bubanza (magharibi mwa Burundi). Polisi tayari iliwakamata watuhumiwa watatu. HABARI

Usalama

Cibitoke : wafungwa wawili wafariki wakiwa katika gereza la polisi ya mkoa

Katika kipindi cha chini ya wiki moja, wafungwa wawili walifariki dunia wakiwa ndani ya gereza la kamishna ya polisi mkoani Cibitoke (kaskazini magharibi mwa Burundi). Msongamano ndani ya jela pamoja

Usalama

Bubanza : shambulio la waasi kwa silaha kutoka DRC katika eneo la Buringa

Milio ya silaha nzito na kawaida ilisikika jumamosi jioni katika kijiji cha Buringa, tarafani Gihanga mkoa wa Bubanza (magharibi mwa Burundi). Waasi huenda walitoka katika mbuga ya Rukoko kwenye mbambao

Usalama

DRC : siku chache baada ya muhula wake kumalizika, kikosi cha EAC chaomba kuongezewa muda

Kikosi cha kanda ya jumuiya ya Afrika mashariki EAC kilichotumwa katika mkoa wa kivu kaskazini (mashariki mwa DRC) kutokana na waasi wa M23 kudhibiti maeneo kadhaa, kinaomba kupewa muda wa

Usalama

Rugombo : watu wawili, mke na mumeo wapatikana wakiwa maiti nyumbani kwao

Tharcisse Nsanzamahoro (miaka 49) na mke wake Thérèse Nzohabonimama, miaka 52 walipatikana wakiwa maiti nyumbani kwao jumapili hii asubuhi kwenye transversale 3 tarafani Rugombo katika mkoa wa Cibitoke (kaskazini magharibi