Wakimbizi

Haki za binadamu

Malawi: zaidi ya wakimbizi 400 kutoka nchi za maziwa makuu wakamatwa na polisi

Ma mia ya wakimbizi kutoka Rwanda, Burundi na Kongo ambao kati yao kuna waliokuwa wakifanya biashara kinyume cha sheria walikamatwa katika mji wa Lilongwe na miji mingine baada ya kupinga

Wakimbizi

Kakuma (Kenya) : maradhi ya usafi mdogo yatishia waomba hifadhi

Maradhi ya usanifishaji mdogo yanashuhudiwa kwenye kituo cha mapokezi ya waomba hifadhi ndani ya kambi ya wakimbizi ya Kakuma nchini Kenya . Kituo kicho kimeathirika zaidi kutokana na msongamano wa

Usalama

Nyarugusu (Tanzania) : wakimbizi wawili kutoka Burundi wakufa kutokana na na maji ya mvua

Mvua kubwa zilizonyesha katika mkoa wa Kigoma (kaskazini magharibi mwa Tanzania) ambako kunapatikana kambi ya Nyarugusu nchini Tanzania zilisababisha vifo vya watu. Nyumba nyingi zilibomoka. Angalau wakimbizi wawili walifariki baada

Wakimbizi

Nakivale-Mahama : zoezi la kuhesabu upya wakimbizi na kuhakiki tena hadhi zao za ukimbizi lasababisha wasi wasi kwa wahusika

Katika kambi za wakimbizi za Nakivale nchini Uganda na Mahama nchini Rwanda wakati huu ni wa kuhesabu upya na kuhakiki hadhi za wakimbizi. Programu hiyo inatelezwa na HCR na inataraji

Jamii

Kivu-kaskazini : MSF yatahadharisha kuhusu janga la kibinadamu kutokea eneo la mashariki mwa DRC kutokana na usalama mdogo

Janga la kibinadamu linaendelea kutokea katika mkoa wa Kivu kaskazini mashariki mwa DRC, lilitahadharisha shirika la MSF la waganga wasiokuwa na mipaka. Shirika hilo la waganga la kimataifa linatoa mwito