Archive
Kifo cha Bruce Sebanza katika ADB: Mkurugenzi Mkuu ahojiwa na Ofisi ya Mwendesha Mashtaka wa Umma ya Ntahangwa
SOS Médias Burundi Bujumbura, Novemba 3, 2026 — Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Maendeleo la Burundi (ADB), Révérien Nizigiyimana, alihojiwa Jumatatu, Novemba 2, na Ofisi ya Mwendesha Mashtaka wa Umma
Nakivale: Maelfu ya Wakimbizi Hawakujumuishwa katika Zoezi la Uhakiki; Mamlaka Zatakiwa Kutoa Ufafanuzi
SOS Médias Burundi Nakivale, Novemba 3, 2026 — Zoezi la kuhakiki utambulisho wa wakimbizi linaendelea katika kambi kadhaa nchini Uganda. Zoezi hilo, ambalo limepangwa kuchukua miezi mitatu na linaongozwa na
Picha ya wiki-Nyarugusu: Wakimbizi wa Burundi walalamikia kutengwa kwao katika misaada ya kibinadamu
Wakimbizi wa Burundi wanaoishi katika kambi ya Nyarugusu, kaskazini-magharibi mwa Tanzania, wanalalamikia kitendo cha vijana wao kutengwa katika ugawaji wa vifaa vya shule na bidhaa za usafi, zoezi lililoandaliwa na
Rumonge: Shule zashutumiwa kuwashinikiza watoto walio chini ya umri wa miaka 18 kujiandikisha kwa ajili ya uchaguzi wa urais wa 2027
SOS Médias Burundi Rumonge, Novemba 2, 2026 — Viongozi katika shule kadhaa za sekondari katika tarafa ya bandari ya Rumonge, mkoani Burunga kusini-magharibi mwa Burundi, wanashutumiwa kwa kuwashinikiza wanafunzi kujiandikisha
Burundi: Wakazi, wakikosa mbolea, waziba barabara ya Rutana-Gihofi
SOS Médias Burundi Rutana, Novemba 2, 2026 — Usambazaji wa mbolea za kemikali zinazozalishwa na kampuni ya Burundi ya Fertilisants Organo-Minéraux Industries (FOMI) — kampuni inayojishughulisha na utengenezaji wa pembejeo
Burundi: Mtu mmoja kati ya wakaazi wanne anaishi katika mkoa wa Bujumbura
SOS Médias Burundi Bujumbura, Novemba 2, 2026 — Mkoa wa Bujumbura, ulioko magharibi mwa nchi, ni makazi ya zaidi ya robo moja ya idadi ya watu wote wa Burundi. Ukiwa
Nyarugusu: Wakimbizi wa Burundi walalamikia kutengwa kwao katika misaada ya kibinadamu
SOS Médias Burundi Nyarugusu, Oktoba 31, 2026 — Wakimbizi wa Burundi wanaoishi katika kambi ya Nyarugusu, kaskazini-magharibi mwa Tanzania, wanalalamikia kitendo cha vijana wao kutengwa katika ugawaji wa vifaa vya
Rumonge: Kipindupindu charejea Kizuka na Gatete; Kifo kimoja xharipotiwa na wagonjwa kadhaa wamelazwa gospitalini
SOS Médias Burundi Rumonge, Oktoba 31, 2026 — Kipindupindu kimeibuka tena katika maeneo ya Kizuka na Gatete, katika tarafa ya bandari ya Rumonge, mkoani Burunga, kusini-magharibi mwa Burundi. Takriban visa
Bukinanyana: Mwanamume ajeruhiwa vibaya kwa risasi wakati wa operesheni dhidi ya magendo ya mafuta
SOS Médias Burundi Bukinanyana, Oktoba 31, 2026 — Mwanamume mmoja alijeruhiwa vibaya kwa risasi jioni ya Alhamisi, Oktoba 29, na mwanajeshi aliyekuwa katika kituo cha ulinzi huko Kaburantwa—eneo lililopo katika
