Posts From Eric Irambona

Usalama

Kirundo: vitisho vya kifo dhidi ya wale wanaopinga michango ya kulazimishwa katika wilaya ya Ntega

Wakaazi wa eneo la Murungurira, katika wilaya ya Ntega, ambao hawajakubali kulipa mchango unaodaiwa na msimamizi wa jumuiya hiyo na katibu wa jumuiya wa chama cha CNDD-FDD wote wanatishiwa kuuawa.

Afya

Burundi: dawa za bure katika uwanja wa afya ya akili ni matakwa ya wataalamu wa kisaikolojia

Kituo kikuu cha magonjwa ya akili katika Kamenge (kaskazini mwa jiji la kibiashara la Bujumbura) hakiwezi leo kutosheleza maombi yote ya huduma kutokana na idadi kubwa ya wagonjwa. Katika mwaka

Uchumi

Burundi: kati ya maeneo mia moja ya kitalii yaliyotambuliwa, ni saba tu ndiyo yameendelezwa

Kulingana na tafiti zilizofanywa na kurugenzi kuu ya utalii nchini Burundi, zaidi ya maeneo mia moja ya watalii yametambuliwa. Kulingana na chanzo hicho hicho, ni tovuti saba tu kati ya

Utawala

Rwanda: Paul Kagame atangaza kugombea urais mwaka wa 2024

Paul Kagame, rais wa Rwanda ameambia gazeti la Jeune Afrique kuwa atagombea muhula wa nne katika uchunguzi mkuu wa 2024. Ilikuwa katika toleo la tarehe 19 septemba 2023. Mwezi aprili

Uchumi

Burundi : bei ya tiketi ya usafiri yapanda

Waziri wa biashara alitangaza jumatano hii bei mpya na nauli ya usafiri ndani ya mji mkuu wa kiuchumi wa Bujumbura na katika ya mikoa. Bei ya tiketi ndani basi mjini

Usalama

Mabayi : waziri mkuu wa serikali ya Burundi atishia kuwauwa watu wote wanaoshirikiana na waasi wa Rwanda waliopiga kambi ndani ya msitu wa Kibira

Tangazo lilitolewa jumanne hii kando na mkutano wa waziri mkuu Gervais Ndirakobuca na wawakilishi wa viongozi, maafisa wa usalama pamoja na waakazi wa tarafa ya Mabayi mkoa wa Cibitoke (kaskazini

Utawala

Burundi – Rwanda : mke wa rais wa Burundi afanya ziara katika nchi jirani ambayo hadi sasa mumeo apata tabu kutembelea

Nchi ya Rwanda inapokea tangu jumatatu kongamano la sita la kimataifa la ” Women Deliver ” kuhusu usawa wa kijinsia. Mmoja kati ya wageni maluum ni mke wa rais wa

Utawala

Burundi : tatizo la uhaba wa mafuta, majibu yake bado kupatikana

Baada ya miezi 18 ya uhaba wa mafuta ya gari, viongozi wa Burundi hawawapi moyo wananchi. Wanachukuwa hatua zisizodumu. Wanaharakati upande wao, wanaomba mkutano mkuu ufanyike kuhusiana na tatizo hilo.

Uchumi

Burundi : nchi imeorodheshwa katika nchi za kwanza ambako rushwa imekithiri

Maadhimisho ya siku ya Afrika dhidi ya rushwa tarehe 11 julai 2023 : hakuna maendeleo makubwa kwa mujibu wa OLUCOME (shirika la kupambana na vitendo vya rushwa na matumizi mabaya

Haki za binadamu

Cibitoke : Zaidi ya wafungwa 180 ndani ya gereza ndogo ya polisi

Watu 178 wanazuiliwa ndani ya gereza ya kamishna ya polisi mkoani Cibitoke (kaskazini magharibi mwa Burundi) ambayo ina urefu wa mita 8 kwa upana wa mita 4. Idadi kubwa ya

  • 1
  • 2