Diplomasia

Diplomasia

Mashambulizi ya Bujumbura: Burundi inapaswa kuacha kuihusisha Rwanda na matatizo yake ya ndani (serikali)

Kigali ilijibu Jumapili kwa shutuma kutoka Burundi ambayo inashutumu jirani yake wa kaskazini kwa kuhusika na mashambulizi ya guruneti katika siku za hivi karibuni katika mji wa kibiashara wa Bujumbura.

Diplomasia

Burundi – Rwanda : mke wa rais wa Burundi afanya ziara katika nchi jirani ambayo hadi sasa mumeo apata tabu kutembelea

Nchi ya Rwanda inapokea tangu jumatatu kongamano la sita la kimataifa la ” Women Deliver ” kuhusu usawa wa kijinsia. Mmoja kati ya wageni maluum ni mke wa rais wa