Posts From PCN
Burundi: Mtu mmoja kati ya wakaazi wanne anaishi katika mkoa wa Bujumbura
SOS Médias Burundi Bujumbura, Novemba 2, 2026 — Mkoa wa Bujumbura, ulioko magharibi mwa nchi, ni makazi ya zaidi ya robo moja ya idadi ya watu wote wa Burundi. Ukiwa
Nyarugusu: Wakimbizi wa Burundi walalamikia kutengwa kwao katika misaada ya kibinadamu
SOS Médias Burundi Nyarugusu, Oktoba 31, 2026 — Wakimbizi wa Burundi wanaoishi katika kambi ya Nyarugusu, kaskazini-magharibi mwa Tanzania, wanalalamikia kitendo cha vijana wao kutengwa katika ugawaji wa vifaa vya
Rumonge: Kipindupindu charejea Kizuka na Gatete; Kifo kimoja xharipotiwa na wagonjwa kadhaa wamelazwa gospitalini
SOS Médias Burundi Rumonge, Oktoba 31, 2026 — Kipindupindu kimeibuka tena katika maeneo ya Kizuka na Gatete, katika tarafa ya bandari ya Rumonge, mkoani Burunga, kusini-magharibi mwa Burundi. Takriban visa
Bukinanyana: Mwanamume ajeruhiwa vibaya kwa risasi wakati wa operesheni dhidi ya magendo ya mafuta
SOS Médias Burundi Bukinanyana, Oktoba 31, 2026 — Mwanamume mmoja alijeruhiwa vibaya kwa risasi jioni ya Alhamisi, Oktoba 29, na mwanajeshi aliyekuwa katika kituo cha ulinzi huko Kaburantwa—eneo lililopo katika
Burundi: Uhaba wa mbolea ni mzigo mzito kwa wakulima; serikali yakabiliwa na ukosoaji mkali
SOS Médias Burundi Gitega, Oktoba 29, 2026 — Uhaba wa mbolea unaendelea kuwaathiri vibaya wakulima wa Burundi. Kuanzia ugawaji wa kiasi kisichotosheleza, ucheleweshaji wa kurejeshewa fedha, hadi changamoto za kupata
Washington yawekea vikwazo Wizara ya Ulinzi ya Rwanda na taasisi ya kifedha inayotuhumiwa kuunga mkono kundi la M23
SOS Médias Burundi Goma, Oktoba 29, 2026 — Siku ya Jumatano, Marekani ilitangaza vikwazo dhidi ya Wizara ya Ulinzi ya Rwanda na taasisi ya kifedha ya ‘Zigama Credit and Savings
Gitega: Kukatika kwa umeme kunakwamisha biashara ndogondogo katika nchi inayokabiliwa na mgogoro sugu wa nishati
SOS Médias Burundi Gitega, Oktoba 28, 2026 — Gitega, mji mkuu wa kisiasa wa Burundi, unakabiliana na madhara ya mgogoro wa nishati unaoathiri shughuli mbalimbali za kiuchumi kote nchini. Kukatika
DRC: FRN yadai kuteka maeneo kadhaa huko Rugezi kufuatia mapigano ya wiki moja
SOS Médias Burundi Fizi, Oktoba 28, 2026 — Wapiganaji kutoka kundi la Front for the Refoundation of the Nation (FRN) wanadai kuteka maeneo kadhaa yaliyokuwa yakishikiliwa na vikosi vya kijeshi
Burundi: Magereza yaliyojaa kupita kiasi—huduma kwa jamii inapendekezwa kama mbadala kutokana na mapungufu katika utaratibu wa msamaha wa rais
SOS Médias Burundi Gitega, Oktoba 27, 2026 — Huku magereza nchini Burundi yakiwa na idadi ya wafungwa karibu mara tatu ya uwezo wake rasmi, huduma kwa jamii inapendekezwa kama suluhisho
Burundi: Umaskini unawasukuma wafanyakazi nje ya nchi, lakini wananaswa na waajiri wadanganyifu
SOS Médias Burundi Bujumbura, Oktoba 27, 2026 — Kwa kuendeshwa na umaskini, ukosefu wa ajira, na mishahara midogo nchini Burundi, raia wengi huelekea nje ya nchi kwa matumaini ya kuboresha
