Posts From Coco Chanel
Burundi: uraibu wa dawa za kulevya hauwaachi wanawake
Waraibu wa mihadarati nchini Burundi walijumuika na mataifa mengine duniani kusherehekea siku ya mapambano dhidi ya matumizi mabaya ya dawa na ulanguzi wa dawa za kulevya. Nchini Burundi, wanawake hawajaachwa.
