DRC (Kivu kaskazini) : shughuli zaanza pole pole kwenye mpaka wa Bunagana

DRC (Kivu kaskazini) : shughuli zaanza pole pole kwenye mpaka wa Bunagana

Gavana mwanajeshi wa jimbo la Kivu kaskazini Constant Ndima alitangaza kuwa harakati kwenye mpaka wa Bunagana (kati ya Uganda na DRC) ni lazima zianze tena . Eneo hilo liko chini ya udhibiti wa wapiganaji wa kundi la machi 23, M23 tangu mwaka jana. HABARI SOS Médias Burundi

Gavana aliwaomba wajumbe wake kuchukuwa hatua zote zinazostahili ili kupeleka vifaa kwenye mpaka wa Bunagana chini ya ulinzi wa kikosi cha kanda ya EAC.

Ni kwa lengo la kuangalia hali halisi ya huduma mbali mbali na kutoa taarifa kwa viongozi wao.

Alizungumzia hatua hiyo kupitia Tangazo, Willy Ngoma msemaji wa M23 alichukuwa hatua hiyo ya gavana wa mkoa wa Kivu kaskazini kama uchokozi .

Kundi la M23 lilichukuwa tena udhibiti wa eneo hilo la mpakani tarehe 22 julai 2022.

Previous DRC : raia wa Kongo waelekea kupata kadi ya uraia
Next Cibitoke : Zaidi ya wafungwa 180 ndani ya gereza ndogo ya polisi

You might also like

Usalama

Bujumbura: moto uliteketeza soko, na kuacha familia katika hali ya kukata tamaa kabisa

Jumapili ya giza kwa watu wanaofanya shughuli zao katika soko dogo katika wilaya ya Mutanga Nord kaskazini mwa jiji la kibiashara la Bujumbura. Familia kadhaa ziko katika ukiwa kabisa. Walitegemea

Usalama

Cibitoke: Ugunduzi mpya wa kutisha, watu wanadai haki

SOS Médias Burundi Cibitoke, Oktoba 8, 2025 – Wanaume wawili walipatikana wakiwa wamekufa Jumanne asubuhi kwenye vilima vya Ndava-Village na Ruhagarika, katika tarafa ya Bukinanyana, mkoa wa Bujumbura. Ugunduzi huu

Usalama

Wiki tatu baada ya Kufunguliwa tena, Barabara ya Uvira-Bukavu yakuwa korido ya kodi inayotozwa kwa watu.

SOS Médias Burundi Uvira, Aprili 21, 2026 – Wiki mbili baada ya kufunguliwa upya kwa Njia ya Kitaifa ya 5, inayounganisha jiji la Uvira na Bukavu katika jimbo la Kivu