Posts From Jean Ntumwa

Usalama

Cibitoke: wakati mazoezi ya kijeshi ya Imbonerakure yanatisha raia

Milio ya silaha nzito na nyepesi ilisikika Jumatano hii kwenye mlima wa Cishemere unaotenganisha wilaya za Buganda na Rugombo, chini ya kilomita 5 kutoka mji mkuu wa mkoa wa Cibitoke

Haki

Rwanda: wakimbizi wa Kitutsi wa Kongo waandamana kupinga mauaji ya kimbari yanayowalenga nchini DRC

Walikuwa ni wakimbizi kutoka kambi za Kiziba na Nkamira zilizoko katika wilaya za Karongi na Rubavu za Mkoa wa Magharibi ambao waliandamana siku ya Jumatatu. Wanashutumu “mauaji ya halaiki” yaliyofanywa

Usalama

Burundi: kundi la waasi la Red-Tabara lashitakiwa kwa uhalifu dhidi ya ubinadamu

Ofisi ya mwendesha mashtaka wa umma ya Jamhuri ya Burundi ilitangaza kuwa imefungua kesi mbili za jinai kwa mashambulizi ya Gatumba (Bujumbura) na Buringa (Bubanza) ambayo yaliua karibu watu thelathini,

Wakimbizi

Mahama (Rwanda): taifa linalodaiwa kuwa la nchi mbili ambalo linawaweka wakimbizi kadhaa wa Burundi katika kifungo

Katika kambi ya wakimbizi ya Mahama, zaidi ya wakimbizi mia moja wa Burundi wanaotafuta hifadhi wana kitambulisho cha Rwanda, ambacho kinawapa moja kwa moja uraia wa nchi hii. Wengi wao

Wakimbizi

Nyarugusu (Tanzania): mkimbizi alikatwa mkono na afisa wa polisi

Afisa wa polisi alimkata kabisa mkono mkimbizi wa Kongo baada ya mapigano katika kambi ya Nyarugusu nchini Tanzania. Wenzake wanadai vikwazo vya kupigiwa mfano dhidi ya mhusika wa shambulio hilo.

Haki

Kesi-Bunyoni: Waziri mkuu huyo wa zamani anachukizwa na hali ya kinyama ya kuwekwa kizuizini na kuomba aachiliwe kwa muda

Kuonekana hadharani kwa mara ya kwanza Alhamisi kwa Waziri Mkuu wa zamani Alain Guillaume Bunyoni mbele ya Mahakama ya Juu. Kesi hiyo ilifanyika katika gereza kuu la Gitega, chini ya

Jamii

Burundi : ni lazima iwepo sera ya misharaha inayovutia ili kuwazuia waganga kwenda nje ya nchi (Chama cha wafanyakazi)

Mishahara midogo pamoja na ukosefu vifaa vya kutosha ndio sababu kuu ya waganga wa Burundi kutoroka na kwenda kuhudumu katika nchi zingine. Ni tamko la kiongozi wa chama cha kutetea

Wakimbizi

Mahama (Rwanda) : ukosefu wa mara kwa mara wa gesi kwa ajili ya kupika chakula

Wakimbizi katika kambi ya Mahama nchini Rwanda wanalaani hali ya mara kwa mara ya kukosa gesi ya kupika chakula. Kila mwezi gesi inachelewa kwa angalau wiki mbili. Hali hiyo inazidisha

Usalama

Gihanga : bibi kizee wa zaidi ya miaka sabini auwawa

Mwanamke mwenye wa miaka 75 alikatwa kichwa na watu wasiojulikana bado katika kijiji cha Rugunga tarafa ya Gihanga mkoa wa Bubanza (magharibi mwa Burundi). Polisi tayari iliwakamata watuhumiwa watatu. HABARI

Wakimbizi

Nyarugusu (Tanzania) : misaada yasimamishwa kwa wakimbizi zaidi ya 200 wenye uraia wa Burundi wanaotembea na ulemavu

Idadi kubwa ya wakimbizi wenye uraia wa Burundi wanaoishi na ulemavu hawakupata msaada wao wa mkaa. Zaidi ya 200 kati yao hawakuona majina yao kwenye orodha ya wanaohitaji misaada. Wanakosoa