Archive
Nduta (Tanzania) : uhaba mkubwa wa damu wakati wa mripuko wa malaria
Damu zimekosekana katika vituo vya afya ndani ya kambi ya Nduta nchini Tanzania. Sababu kuu ya hali hiyo ni watoa damu kuacha kutoa damu kutokana na ukosefu wa chakula kuzuri.
Kirundo : mvulana mmoja alifariki dunia baada ya kupigwa na Imbonerakure
Ezéchiel Ntahinduka, miaka 14 alifariki jumatatu tarehe 24 julai akiwa kwenye hospitali ya mkoa. Kwa mjibu wa mashahidi, kijana huyo wa kiume alifariki kutokana na kipigo aliyefanyiwa na Jean Marie
Nyiragongo : hali ya kibinadamu kwenye kituo cha wakimbizi cha adventiste Kasenyi inatisha
Wakimbizi hao wa ndani hawapokei msaada wowote. Ni hali inayozidisha udhaifu wao na hivyo kuwasukuma katika mitaa kuomba omba. Ni tahadhari ya mkuu wa kituo cha adventiste Kasenyi ambaye anazidi
Burundi : nchi imepata mwendeshamashtaka mkuu mpya
Ni Léonard Manirakiza, ameidhinishwa jumanne hii na baraza la seneti. Wanaharakati wanasema kuwa hawataraji mambo makubwa kutoka kwake lakini wameamuru kujizuia kueleza chochote. HABARI SOS Médias Burundi Léonard Manirakiza ameidhinishwa
Tanzania : biashara haramu ya watoto wa kike ambao ni wakimbizi kutoka Burundi kambini
Inashuhudia ” biashara ya wasichana wadogo” katika kambi za wakimbizi wa Burundi nchini Tanzania. Wanaolengwa zaidi ni wasichana wenye umri chini ya miaka 18. Wanaelekea hasa katika miji ya Mwanza,
Burundi : ni budi kuwa makini katika kuwatuma wasichana nchini Saudi Arabia, alisema mke wa rais
Mke wa rais wa Burundi analaani kuona wasichana wadogo wakiacha shule na kutoroka maeneo yao ya asili na kwenda kutafuta ajira katika nchi za warabu. Angeline Ndayishimiye alitoa wito kwa
Nyarugusu (Tanzania) : maiti ya mwanamke mmoja yapatikana ndani ya shamba
Ni muili wa mwanamke ambaye hakutambulika. Ulipatikana kwenye mstari wa kutenganisha eneo linalokaliwa na raia wa Kongo na lile wa raia wenye asili ya Burundi. Uchunguzi tayari imeanza ili kutambua
Burundi – Rwanda : mke wa rais wa Burundi afanya ziara katika nchi jirani ambayo hadi sasa mumeo apata tabu kutembelea
Nchi ya Rwanda inapokea tangu jumatatu kongamano la sita la kimataifa la ” Women Deliver ” kuhusu usawa wa kijinsia. Mmoja kati ya wageni maluum ni mke wa rais wa
Kesi-Bunyoni : waziri mkuu wa zamani alihamishwa katika gereza ya waliofanya jaribio la mapinduzi
Waziri mkuu wa zamani Alain Guillaume Bonyoni kwa sasa ni mkaazi wa gereza kuu ya Gitega (mji mkuu wa kisiasa). Alihamishwa kutoka jela ya Ngozi (kaskazini mwa Burundi). Wakati huo
Kivu-kaskazini : watetezi wa haki za binadamu wako hatarini katika maeneo ya migogoro ya silaha
Watetezi wa haki za binadamu katika wilaya ya Rutshuru wanatahadharisha kuhusu vitisho dhidi yao kutoka kwa viongozi wa makundi ya waasi. Wanatoa takwimu za wanaharakati 18 waliouwawa na makundi ya