Archive

Haki za binadamu

Goma: mahakama ya kijeshi yaahirisha kesi ya kigogo wa Lucha

Kesi dhidi ya Mwamisyo Ndungo mwanaharakati ya vuguvugu la LUCHA ndani ya mkoa wa Kivu kaskazini iliotaraji kusikilizwa jumatano saa nne, iliahirishwa katika siku nyingine, korti ya kijeshi mkoani humo

Utawala

Bujumbura : wakaazi wasumbuka kupata maji safi

Maji safi yamekuwa adimu katika kata za kaskazini na kusini mwa jiji kuu la kiuchumi. Katika baadhi ya kata, wakaazi wanaweza kumaliza wiki moja bila kupata huduma hiyo. Wananchi wanahofia

Utawala

Goma: kijana mdogo uuwawa na askali polisi katika kituo cha kuandika wapiga kura

Dieudonné Bagenda, miaka 20 aliuwawa kwa kupigwa risasi. Risasi lilimpata kichwani akiwa katika kituo cha kuorodhesha wapiga kura cha Byahi alhamisi hii katika kata ya Bujovu ndani ya mji wa

Mazingira

Gatumba : mafuriko yalazimisha familia nyingi kukimbia

Makaazi mengi ya kata tisa za kijiji cha Gatumba tarafa ya Mutimbuzi (mkoa wa Bujumbura magharibi mwa Burundi) yalivamiwa na maji ya mto Rusizi (unaotenganisha Burundi na DRC) siku chache

Afya

Kivu-kaskazini : MSF yatahadharisha kuhusu janga la kibinadamu kutokea eneo la mashariki mwa DRC kutokana na usalama mdogo

Janga la kibinadamu linaendelea kutokea katika mkoa wa Kivu kaskazini mashariki mwa DRC, lilitahadharisha shirika la MSF la waganga wasiokuwa na mipaka. Shirika hilo la waganga la kimataifa linatoa mwito