Posts From David Irakoze
DRC: Serikali ilijitolea kupambana na virusi vya Monkeypox ambavyo tayari vimesababisha vifo vya watu 548.
Waziri Mkuu Judith Suminwa alizungumza na Samuel Roger Kamba Mulamba, Waziri wa Afya na Jean Kaseya, Mkurugenzi Mkuu wa Afrika CDC*, wakala wa afya wa Umoja wa Afrika, jioni ya
Burundi: watu wanaougua tumbili watapokea matibabu bila malipo
Tangazo hili lilitolewa Jumatano hii na waziri anayesimamia afya ya umma baada ya kuthibitishwa kwa mpango wa kitaifa wa kukabiliana na hali hiyo ambao unachukua muda wa miezi sita. Katika
Kayogoro: Watu 4 wanazuiliwa katika kesi ya kuabudu miungu
Wanaume watatu na mwanamke mmoja wamezuiliwa katika seli za ofisi ya mwendesha mashtaka wa mkoa wa Makamba (kusini mwa Burundi) tangu Alhamisi. Walihamishiwa huko baada ya kukaa kwa siku 7
Dzaleka (Malawi): zaidi ya wakimbizi 400 wamekamatwa
Msako mkubwa ulifanywa na polisi na jeshi asubuhi ya Alhamisi katika kambi ya Dzaleka nchini Malawi. Inafuatia milio ya risasi iliyosikika usiku uliopita katika kambi hiyo. Zaidi ya wakimbizi 400
DRC: zaidi ya wanawake 25,000 walibakwa katika miaka 34
Zaidi ya wanawake 25,000 wamebakwa katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na makundi yenye silaha tangu kuanza kwa vita mwaka 1990. 87% yao wanatoka mashariki mwa nchi. Hii ilisababisha vyama
Burundi:Hata kama imekosolewa, mamlaka ya mwandishi maalum wa Umoja wa Mataifa yaongezwa
Ilikuwa ni kikao cha Alhamisi hii ambacho kilipiga kura ya kuongezwa kwa mwaka mmoja kwa mamlaka ya Burkinabè Fortune Gaétan Zongo. Mwandishi Maalum kuhusu Burundi anakosolewa ndani na serikali na
Nyarugusu (Tanzania) : zaidi ya wakimbizi mia moja wenye asili ya Burundi walazimishwa kurejea makwao kwa nguvu
Kwa sababu ya kutokuwepo wakati wa sensa kwa ajili ya uhakikisho ya mwaka wa 2021, shirika linalowahudumia wakimbizi (HCR), liliondoa wakimbizi wenye uraia wa Burundi zaidi ya mia moja kwenye
Burundi : bei ya mbolea ya kizungu yapandishwa
Serikali ya Burundi ilipandisha bei ya mbolea ya kizungu. Hayo yalifahamishwa na waziri wa kilimo katika mkutano na wandishi wa habari alhamisi tarehe 14 septemba iliyopita. Sanctus Niragira alisisitiza kuwa
Burundi : viongozi wa Burundi wapiga marufuku kongamano la kimataifa la akinamama waumini wa kikristu
Viongozi wa Burundi alhamisi hii walifahamisha kuwa kongamano la kimataifa la kikristu la akinamama halitafanyika. Kongamano hilo liliandaliwa na shirika linaloongozwa na mchungaji kutoka Rwanda. Waziri wa mambo ya ndani
Bujumbura : uimarishwaji wa usalama mbele ya RTNB wasababisha wasi wasi
Wafanyakazi wa radio na televisheni ya Burin di (RTNB) kituo cha matangazo cha serikali, walishituka kuona ijumaa asubuhi, kikosi kikubwa cha usalama pamoja na uwepo wa mbwa wa polisi kwenye