Posts From David Irakoze
Nyarugusu (Tanzania) : askali wanne wasimamishwa kwa tuhuma za jaribio la wizi
Askali polisi walifumaniwa wakifanya wizi ndani ya makaazi ya mfanyabiashara mmoja katika kambi ya Nyarugusu. Polisi hao walikamatwa pamoja na walinzi wa kawaida watatu wa kambi. Wakimbizi wanaomba adhabu kali
DRC (Mulongwe) : wakimbizi wanaotafuta kuuni za kupikia waathiriwa na ubakaji
Katika kambi ya wakimbizi wa Mulongwe ndani ya mkoa wa Kivu kusini mashariki mwa jamuhuri ya kidemokrasia ya Kongo, wakimbizi wanakabiliwa na ukosefu wa kuuni za kupikia. Wakimbizi hao hususan
Bubanza : shambulio la waasi kwa silaha kutoka DRC katika eneo la Buringa
Milio ya silaha nzito na kawaida ilisikika jumamosi jioni katika kijiji cha Buringa, tarafani Gihanga mkoa wa Bubanza (magharibi mwa Burundi). Waasi huenda walitoka katika mbuga ya Rukoko kwenye mbambao
Tanzania : viongozi wanahakikisha kuwa unyanyasaji dhidi ya wakimbizi wa Burundi unapuziwa
Wizara wa mambo ya ndani inahakikisha kuwa wakimbizi wa Burundi wananyanyaswa na polisi ndani ya kambi. Wizara hiyo inatoa ahadi ya kushughulikia swala hilo lakini haonyeshi ishara yoyote. Badala yake
Musigati : amri ya kung’oa heka 50 za mashamba ya miwa
Mkuu wa tarafa alichukuwa uamzi wa kupiga marufuku miwa katika bonde la tarafa ya Musigati mkoa wa Bubanza (magharibi mwa Burundi). Zao hilo litatoa nafasi kwa mazao mengine ya vyakula,
Burundi : Imbonerakure zapewa sifa na kuhitajiwa
Rais wa Burundi ametoa sifa na kupongeza Imbonerakure (wajumbe wa tawi la vijana wafuasi wa chama cha CNDD-FDD, chama tawala) kwa jukumu lao katika kulinda mipaka ya nchi yake. Evariste
Kirundo : mvulana mmoja alifariki dunia baada ya kupigwa na Imbonerakure
Ezéchiel Ntahinduka, miaka 14 alifariki jumatatu tarehe 24 julai akiwa kwenye hospitali ya mkoa. Kwa mjibu wa mashahidi, kijana huyo wa kiume alifariki kutokana na kipigo aliyefanyiwa na Jean Marie
Nduta (Tanzania) : mazingira magumu ya wakimbizi wa Burundi waliorudi ukimbizini
Viongozi katika kambi ya Nduta Kaskazini magharibi mwa Tanzania wako katika sensa na kuorodhesha watoto wadogo wasiokuwa pamoja na wazazi wao. Hayo ni wakati maisha yao ni mabaya sababu hawatambuliki
Cibitoke : watu watano wenye asili ya Rwanda wanaobebelea silaha waliuwawa katika mapigano na jeshi la Burundi ndani ya msitu wa Kibira
Milio ya silaha nzito ilisikika tangu ijumaa iliyopita ndani ya msitu wa hifadhi wa Kibira kwenye milima ya Gasenyi na Gafumbegeti tarafani Mabayi mkoa wa Cibitoke (kaskazini-magharibi mwa Burundi). Kwa
Burundi : noti mpya za elfu tano na elfu kumi zawekwa katika mzunguko wa pesa
Benki kuu ya Burundi (BRB) ilifamisha kuwa imeweka katika mzunguko wa pesa nchini Burundi noti mpya za elfu tano na elfu kumi kurejelea zile zilizotengenezwa tangu mwaka wa 2018. Gavana
