DRC Sw
Goma (DRC): mazishi ya wahanga 35 wa shambulio la bomu katika kambi ya Mugunga, familia zao zaomba amani
Jumatano hii, mamlaka ya Kivu Kaskazini (mashariki mwa DRC) iliandaa maziko ya wahasiriwa wa shambulio la bomu katika kambi ya Mugunga. Familia za wahasiriwa ziliomba amani ya kudumu huku baadhi
Uvira (DRC): Warundi waenda kuweka mafuta DRC, bei huko inarekebishwa kwenda juu.
Kwa miezi kadhaa, Burundi imekuwa ikikumbwa na uhaba wa mafuta ambao haujawahi kushuhudiwa. Baadhi ya Warundi wanaamua kwenda kumtafuta huko Uvira katika jimbo la Kivu Kusini, mashariki mwa DRC. Kutokana
DRC-Goma: watu waliokimbia makazi yao wanataka kuhamishwa kwa eneo la Bulengo baada ya shambulio la bomu
Eneo la waliokimbia makazi la Bulengo, mojawapo ya maeneo makubwa zaidi katika mji wa Goma katika jimbo la Kivu Kaskazini, kwa sasa lina zaidi ya watu 478,000. Watu hawa waliokimbia
Kivu Kaskazini : Saa 48 ndio makataa yaliyowekwa na vikundi vya wenyeji wenye silaha kwa jeshi la kikanda kuondoka DRC
Jumatano hii, vikundi vya kujilinda vilivyo na silaha vya ndani vilitoa makataa kwa jeshi la kikanda la EAC kuondoka katika nyadhifa zake Masisi, Rutshuru na Nyiragongo. Iko katika mkoa wa
DRC – Rutshuru : usalama wazidi kuwa mbaya katika kitongoji cha Busanza
Wakaazi wa kitongoji cha Busanza ndani ya kijiji cha Bwisha wilayani Rutshuru mashariki mwa jamuhuri ya kidemokrasia ya Kongo walaani kuona visa vya usalama mdogo vikiendelea kushuhudiwa mnamo siku hizi
DRC : raia wa Kongo waelekea kupata kadi ya uraia
Mkataba ulitiwa saini alhamisi hii tarehe 8 juni kati ya tume ya kitaifa ya uchaguzi (CENI), ofisi ya kitaifa ya utambulisho na wananchi (ONIP) pamoja na idara ya kitaifa ya
DRC (Beni) : watu zaidi ya kumi wauwaw a katika shambulio jingine la kundi la ADF eneo la Rwenzori
Watu 13 waliuwawa katika shambulio jingine ya waasi wa AFD (nguvu zilizoungana kwa ajili ya demokrasia) katika usiku wa alhamisi kuamkia ijumaa . Shambulio hilo lilifanyika katika kitongoji cha Bukokoma
Masisi: mapigano makali kati ya kikosi cha Burundi na kundi la M23
Mapigano makali ya kundi la M23 dhidi ya wanajeshi wa Burundi wa kikosi cha jumuiya ya Afrika mashariki yalifanyika siku ya ijumaa. Jeshi la Kongo linahakikisha kuwa zaidi ya wapiganaji
RDC (Ituri) : angalau wananchi 40 waliuwawa na waasi wa CODECO
Vijiji vitatu vya eneo la Banyali Kilo, wilayani Djugu katika mkoa wa Ituri mashariki mwa DRC vililengwa na mashambulizi ya wakati mmoja ya waasi wa CODECO (shirikisho kwa ajili ya
Kivu-Kaskazini : zaidi ya wananchi 200 waliuwawa katika kipindi cha mwezi mmoja eneo la Beni
Katika kitongoji cha Ruwenzori wilaya ya Beni mkoa wa Kivu-kaskazini (mashariki mwa DRC) , zaidi ya watu 200 waliuwawa katika kipindi cha mwezi mmoja. Takwimu hizo zinatolewa na ofisi ya
