Siasa
Bujumbura : kongamano lisilokuwa la kawaida la chama cha CNL lasimamishwa kwa kosa “la tahajia”
Kutokana na kosa katika kuandika barua inayotumwa kwa waziri wa mambo ya ndani, chama cha upinzani cha CNL kilizuiliwa kuandaa kongamano lake kuu lililokuwa limepangwa kufanyika mchana wa ijumaa tarehe
Ngozi : mfuasi wa chama cha CNL apatikana akiwa maiti
Muili wa Gilbert Ndacayisaba mwenye umri wa miaka 47 ulipatikana katika shamba la miti ya mikaratusi alhamisi mchana. Mkaazi huyo wa kijiji cha Karungura tarafani Mwumba mkoa wa Ngozi (Kaskazini
Uvira : zaidi ya watu wengine 300 kutoka Burundi wakimbilia nchini DRC
Wanapewa hifadhi katika kambi ya muda ya Sange ndani ya wilaya ya Uvira mkoa wa kivu-kusini (mashariki mwa DRC) tangu siku chache zilizopita. Wahusika ni kutoka hususan katika mikoa ya
Tanzania : viongozi tawala wawahamasisha wakimbizi kuhusu kuheshimu sheria ambazo wao wanazikiuka kila mara
Wiki mbili zilitumiwa kuwahamasisha kuhusu sheria za nchi na zile zinazowahusu wakimbizi ndani ya kambi za Nduta na Nyarugusu. Wakimbizi waligundua kuwa wanalindwa na sheria nzuri lakini nchi iliyowapa hifadhi
Burundi: Mashirika yasiyokuwa ya hisani yalazimishwa kutoa nauli viongozi tawala ili kuwasili uwanjani
Washirika wanaohudumu katika maeneo yoyote ya nchi sasa wataanza kuandaa bajeti kwa ajili ya kugharamia ziara za viongozi tawala. Hayo ni kwa ajili ya kuwawezesha kufika uwanjani kukagua hatua iliyopigwa
Bubanza: Mbunge Fabien Banciryanino aibua mjadala
Katika sherehe za kuomboleza mauwaji ya rais Melchior Ndadaye, mbunge wa zamani Fabien Banciryanino aliweka shaada za mauwa ambako ameandika kuwa demokrasia ilidaiwa na Ndadaye haijaonekana. Jambo hilo limeibua mjadala.
Muyinga: Zaidi ya wapinzani 50 wanazuiliwa jela
Wananchi ambao kwa sehemu kubwa ni waumini wa dini ya kislam wanazuiliwa katika gereza la polisi Muyinga (Kaskazini-mashariki mwa Burundi) tangu jumapili tarehe 9 oktoba.Wanatuhumiwa kufanya mkutano kinyume cha sheria
Kabarore: walimu walazimishwa kutoa michango
Walimu katika tarafa ya Kabarore mkoa wa Kayanza (Kaskazini mwa Burundi) walilazimishwa kutoa michango ya pesa ili kufadhili miradi ya chama tawala cha CNDD-FDD. Wahusika wanatupilia mbali kile wanachoita “ukiukwaji
Makamba: Vijana Imbonerakure wahamishwa nje ya shule ya Makamba
Wazazi wa wanafunzi wa shule ya kipili ya Makamba iliyo kwenye makao makuu ya mkoa huo (kusini mwa Burundi) walijiridhisha baada ya kundi la Imbonerakure (Wafuasi wa chama tawala cha
Burundi : Chama cha CNL kimezuiliwa kuandaa siku maluum ya vijana
Chama kikuu cha upinzani cha CNL kilipanga kuandaa ijumapili hii siku ya kimataifa ya vijana wake. Wizara inayohusika na mambo ya ndani ilitupilia mbali ombi hilo na kudai kuwa siku
