Refugees
Nakivale (Uganda) : WFP updates its data
It is a routine activity. The UN agency, after a given period, proceeds to a verification of still active refugees for the so-called adequate assistance. INFO SOS Médias Burundi According
Nduta: watu 10 wanaomba hifadhi wazuiliwa jela
Watu kumi wenye asili ya Burundi wanaomba hifadhi ya ukimbizi hivi karibuni walikamatwa na polisi ya Tanzania. Watu hao waliokuwa katika hifadhi ndani ya kambi ya Nduta walikuwa walirudi nchini
Nduta (Tanzania): ten Burundian asylum seekers in detention
Ten Burundian asylum seekers are under arrest in Tanzanian. Formerly living in Nduta camp, they had been repatriated before returning to exile as a result of persecution experienced in their
Nduta (Tanzania): ghasia kati ya polisi na wakimbizi kutoka Burundi
Tangu weekendi iliyopita, polisi imekuwa katika harakati za kuwakamata wafanyabiashara wanaoendeshea shughuli zao nyumbani. Maduka pia yanachomwa moto. Hasira ya wakimbizi ilipanda hadi kuwarushia mawe polisi. HCR ilijaribu kutuliza hali.
Nduta (Tanzania): riots between the police and Burundian refugees
Since last weekend, the police have been tracking down traders who reportedly run small businesses at home. Shops are also destroyed. The anger of refugees rose and they threw stones
Kakuma (Kenya): wakimbizi kutoka burundi wameshambuliwa na mmoja alifariki
Kisa hicho kilitokea nyakati tofauti katika kipindi cha chini ya wiki mbili ndani ya kambi ya Kakuma kaskazini magharibi mwa Kenya. Waathiriwa walivamiwa na watu wasiojulikana ambao walimujeruhi mmoja. Waliwapora
Kakuma (Kenya): four Burundian refugees attacked, one of them dead
The incidents occured separately and in less than two weeks at Kakuma refugee camp in northwestern Kenya. The attackers, who stripped the victims of their belongings, were not identified. The
Tanzania: viongozi watawafukuza tena wakimbizi wa zamani wa burundi waliorudi uhamishoni
Kwa jumla, ni raia wa burundi 1048 wanaolengwa na hatua hiyo. Wote ni wakimbizi wa zamani waliorudi ukimbizini katika miaka miwili iliyopita baada ya kurudi nchini Burundi. Walengwa hao wanaomba
Tanzania: authorities to expel former Burundian refugees who have returned to exile
In total, there are 1,048 Burundians to be affected by the measure. They are former refugees who have returned to exile in the past two years after being repatriated to
Kakuma (Kenya): glaring lack of drinking water
The Kakuma camp in Kenya has a serious lack of drinking water. Refugees fear uncleanness-related diseases. INFO SOS Médias Burundi Two weeks have passed without a drop of drinking water
