Posts From Leila Keza
Burundi: Chama cha CNL chazuiwa na Wizara ya Mambo ya Ndani katika jaribio lake la kutatua mgogoro wake wa ndani
Mkuu na mwakilishi wa kisheria wa chama cha CNL walituma barua kwa Waziri wa Mambo ya Ndani wa Burundi Februari 26. Agathon Rwasa anafahamisha waziri kwamba anaandaa kongamano la ajabu
Burundi: upangaji uzazi, njia mwafaka ya kupambana na demografia ya kurukaruka
Viongozi wanawake wametakiwa kuongoza katika vita dhidi ya utapiamlo. Haya yalisemwa katika mji mkuu wa kiuchumi Bujumbura ambao uliandaa kati ya Jumatatu na Jumatano toleo la nne la Jukwaa la
Cibitoke: wanajeshi sita wasimamishwa baada ya kupurukushana na Imbonerakure
Wanajeshi hao sita walikuwa wakifanyia kazi kwenye kituo cha Ruhagarika . Ni katika tarafa ya Buganda ndani ya mkoa wa Cibitoke kaskazini magharibi mwa Burundi karibu na mto wa Rusizi
Gitega : hakuna sheria miaka 27 baada ya mauwaji ya askofu Joachim Ruhuna
Askofu Joachim Ruhuna mkuu zamani wa dayosezi ya Gitega aliuwawa tarehe 9 septemba 1996. Mauwaji hayo yalifanyika karibu na mto wa Mubarazi. Katika kipindi hicho, maeneo ya Bugendana na Mutaho
Gitega : majaji saba wapelekwa jela
Majaji saba wanazuiliwa katika gereza kuu ya Gitega (mji mkuu wa kisiasa) tangu alhamisi jioni, mashahidi walithibitishia SOS Médias Burundi. Wanatuhumiwa vitendo vya rushwa na utapeli. HABARI SOS Médias Burundi
DRC : siku chache baada ya muhula wake kumalizika, kikosi cha EAC chaomba kuongezewa muda
Kikosi cha kanda ya jumuiya ya Afrika mashariki EAC kilichotumwa katika mkoa wa kivu kaskazini (mashariki mwa DRC) kutokana na waasi wa M23 kudhibiti maeneo kadhaa, kinaomba kupewa muda wa
Burundi : Imbonerakure zapewa sifa na kuhitajiwa
Rais wa Burundi ametoa sifa na kupongeza Imbonerakure (wajumbe wa tawi la vijana wafuasi wa chama cha CNDD-FDD, chama tawala) kwa jukumu lao katika kulinda mipaka ya nchi yake. Evariste
Mebeba (Zambia) : HCR inakwenda kinyume na haki kuwazika wakimbizi
Tangu muda mchache , HCR haotowi misaada kwa ajili ya mazishi kama ilivyokuwa kawaida. Wakimbizi wanaodai kuishi Katika mazingira magumu wanaomba shirika hilo la umoja wa mataifa kurejelea hatua hiyo.
Bururi : kiongozi wa gereza kuu ya Murembwe na wafanyakazi wenzake wawili wapewa adhabu ya kifungo cha miaka 7 na miezi 6 jela
Kanali wa polisi Patrice Nkurikiye kiongozi wa gereza kuu la Murembwe mkoani Rumonge (kusini magharibi mwa Burundi) na washirika wake wawili wahudumu katika idara ya sheria ndani ya gereza hilo,
Burundi : ni budi kuwa makini katika kuwatuma wasichana nchini Saudi Arabia, alisema mke wa rais
Mke wa rais wa Burundi analaani kuona wasichana wadogo wakiacha shule na kutoroka maeneo yao ya asili na kwenda kutafuta ajira katika nchi za warabu. Angeline Ndayishimiye alitoa wito kwa
