Jamii
Picha ya wiki: jambo la sumu linatia uoga jijini Bujumbura
Imepita zaidi ya mwaka mmoja tangu visa vingi vya wagonjwa kuwasilisha dalili za sumu kuanza kutumia dawa za kienyeji. Inatosha kwamba mtu anahisi maumivu ndani ya tumbo au homa kidogo,
Bujumbura: watoto waathirika wa gharama kubwa ya maisha
Bei ya vyakula inapanda siku hadi siku, maisha yamekuwa ghali sana. Kuwa na chakula cha kutosha ni tatizo kwa familia nyingi. Wale walio na watoto wadogo sasa wanasema kwamba haiwezekani
Bujumbura: manung’uniko kutoka kwa wauzaji wa bia za kienyeji
Baada ya taarifa kwa vyombo vya habari kuhusu usalama kutoka kwa msimamizi wa wilaya ya mjini ya Muha, katika mji mkuu wa kiuchumi wa Bujumbura, kuwaamuru wauzaji wa bia ya
Burundi : ni lazima iwepo sera ya misharaha inayovutia ili kuwazuia waganga kwenda nje ya nchi (Chama cha wafanyakazi)
Mishahara midogo pamoja na ukosefu vifaa vya kutosha ndio sababu kuu ya waganga wa Burundi kutoroka na kwenda kuhudumu katika nchi zingine. Ni tamko la kiongozi wa chama cha kutetea
Burundi : bei ya mafuta ya gari yapanda kwa mara ya pili katika kipindi cha miezi miwili
Bei ya mafuta ya gari aina ya petroli (essence) ilitoka kwenye bei ya 3895 na kupanda hadi 4550 sarafu za Burundi sawa na ongezeko la franka 665. Bei ya mazout
Gitega : majaji saba wapelekwa jela
Majaji saba wanazuiliwa katika gereza kuu ya Gitega (mji mkuu wa kisiasa) tangu alhamisi jioni, mashahidi walithibitishia SOS Médias Burundi. Wanatuhumiwa vitendo vya rushwa na utapeli. HABARI SOS Médias Burundi
Cibitoke-Gitega : wazazi wazidiwa na kupanda kwa bei ya vifaa vya shule
Siku chache kabla ya mwaka wa masomo 2023-2024 kuanza, wazazi pamoja na wanafunzi mkoani Cibitoke (kaskazini-magharibi mwa Burundi) na Gitega (mji mkuu wa kisiasa kati kati mwa Burundi) wanashituka kutokana
Gitega : watu saba wapewa adhabu ya kifungo cha mwaka mmoja na miwili jela kwa kuhusika na ushoga
Kati ya wale saba walioadhibiwa kwa kuhusika na ushoga, watano walikatiwa kifungo cha miaka miwili jela. Wawili mwaka mmoja jela. Wengine 18 waliachiliwa na mahakama kuu ya Gitega (kati kati
Burundi : serikali iliamuru kusamehe ushuru kwa baadhi ya bidhaa za vyakula kutoka nje ya nchi
Serikali ilichukuwa uamzi wa kusamehe ushuru kwa baadhi ya bidhaa mahitajio muhimu kama mchele, maharagwe, mbegu za mahindi, sukari ,…. kupitia tangazo la 30 machi 2023. Wizara ya fedha ilifahamisha
Burundi : shirikisho la vyama viwili vya kutetea haki za wafanyakazi vinaomba CNDS kuingilia kati katika mzozo dhidi ya serikali
Mashirikisho ya vyama vya wafanyakazi COSYBU na CSB vinapaza sauti dhidi ya kusimamishwa kwa tozo za michango ya wajumbe wao. Serikali iliweka hatua ya kupiga marufuku michango ya wajumbe wa
