Gitega : watuhumiwa watano wa mapenzi ya jinsia moja wameachiwa huru kwa jumla ya wale 24 wanaozuiliwa jela
Uamzi wa kuwaachilia huru umechukuwa jumatatu hii tarehe 20 machi, amethibitisha hayo mmoja kati ya mawakili waliotetea kundi hilo. Watano hao walioachiliwa huru walikuwa katika kundi la watu 24 wanaotuhumiwa kufanya mapenzi ya jinsia moja waliosimamishwa mwezi februari uliopita. Wanazuiliwa katika gereza kuu la Gitega (makao makuu ya kisiasa). HABARI SOS Médias Burundi
Ni wanaume wawili na wanawake watatu. Wameachiwa huru kwa muda jumatatu hii , chanzo cha polisi kiliambia SOS Médias Burundi .
” Ni mahakama ya mkoa wa Gitega iliyochukuwa uamzi wa kuwaachilia huru jumatatu hii mchana” , mmoja kati ya mawakili watetezi wa kundi amethibitishia SOS Médias Burundi. Wajumbe wengine wa kundi hilo wamesikilizwa jumanne hii mchana wakiwa katika jela la Gitega. Wanatuhumiwa kosa la kushawishi watu kufanya ulevi”.
Watu wa karibu yao wanaomba waachiliwe huru uchunguzi wa kiafya ukiwa bado kufanyika .
Wote 24 wakiwa ni wapenzi wa jinsia moja walikamatwa tarehe 22 februari wakidiri mafunzo katika mji wa Gitega kabla ya kupelekwa katika jela la mkoa huo tarehe 6 machi iliyopita.
You might also like
Rumonge : more than two hundred people displaced by torrential rains
At least 230 people have been homeless since last Friday. Their homes were destroyed by torrential rains combined with violent winds in Rumonge (southwest Burundi). The administration is struggling to
Rumonge : residents overwhelmed by an endless water shortage
Residents in the town of Rumonge (southwest of the country) say they are overwhelmed. For more than four days, all taps have been dry. They are forced to draw water
Buhumuza : thirsty Muyinga, the water shortage raises fears of a health catastrophe
SOS Médias Burundi Muyinga (Buhumuza Province), July 14, 2026 – Dry taps, prohibitively expensive jerrycans of water, forced reliance on unreliable sources, and increasingly alarming hygiene conditions in schools :
