Human Rights

Human Rights

Lusenda-Mulongwe : njaa yapiga hodi katika kambi za wakimbizi kutoka Burundi

Wakimbizi wa kambi za Lusenda na Mulongwe katika wilaya ya Fizi mkoa wa Kivu ya kusini mashariki mwa DRC wanasema kuwa wanakabiliana na uhaba wa chakula. PAM (WFP) shirika la

Security

Beni : zaidi ya watu 70 wauwawa katika kipindi cha siku 6

Zaidi ya watu 70 waliuwawa katika kipindi cha siku sita zilizopita katika wilaya ya Beni , Kivu kaskazini katika vijiji mbali mbali mashariki mwa DRC. Waliotekeleza mauwaji hayo ni waasi

Justice En

Goma: ma mia ya visa vya ubakaji yaripotiwa eneo la Kanyarutchinya

Visa vya unyanyasaji wa kijinsia viliongezeka katika kijiji cha Kanyarutchinya wilayani Nyiragongo na Bulengo magharibi ya mji wa Goma Kivu kaskazini tangu kuibuka tena kwa kundi la M23. Viongozi wa

Security

Goma : hundreds of cases of sexual violence recorded in Kanyarutchinya

Cases of sexual violence, since the resurgence of the M23, have gone on the rise in the village of Kanyarutchinya, located in Nyiragongo territory and in Bulengo, west of the

Security

Mahama (Rwanda) : the assassination of at least eight Burundian refugees creates psychosis

Criminality has increased over the past two weeks in the Mahama refugee camp, housing Burundians and Congolese in eastern Rwanda. The most targeted are Burundians while Congolese are singled out

Refugees

Mahama (Rwanda) : mauwaji ya angalau wakimbizi nane kutoka Burundi yasababisha wasi wasi

Uhalifu uliongezeka katika wiki mbili zilizopita ndani ya kambi ya Mahama mashariki mwa Rwanda, inayowapa hifadhi wakimbizi kutoka Burundi na Kongo. Wanaolengwa ni wakimbizi kutoka Burundi huku wale kutoka Kongo

Human Rights

Nduta (Tanzania) : kaburi labomorewa na viongozi kwa hoja tu ya kujengwa kwa simenti

Kitendo hicho kilicholaaniwa na wakimbizi kilitekelezwa kwenye kaburi la mkimbizi wa Burundi, aliyezikwa katika makaburi ya zone ya 9 ndani ya kambi ya Nduta. Ofisi ya mkuu wa kambi ilishuhudia

Human Rights

Burundi: IDHB and Acat-Burundi denounce the continued detention of five Burundian activists

A few days ago, the Ntahangwa court in the northern commercial city of Bujumbura decided to keep five Burundian human rights defenders in detention. Incarcerated in the central prison of

Human Rights

DRC (Beni): more than thirty civilians killed by gunmen in the chiefdom of Bashu

At least thirty-six civilians were killed several others injured or reported missing in an attack by a group of gunmen. The incident occurred in the Mukondi village near Kalunguta locality

Refugees

Nduta (Tanzania): a tomb demolished by the administration for the simple reason that it is built of cement

The demolished grave was holding the remainings of a Burundian refugee, buried in the cemetery of zone 9 in Nduta camp. The camp’s top official was supervising. INFO SOS Médias