Archive

Jamii

Gitega : majaji saba wapelekwa jela

Majaji saba wanazuiliwa katika gereza kuu ya Gitega (mji mkuu wa kisiasa) tangu alhamisi jioni, mashahidi walithibitishia SOS Médias Burundi. Wanatuhumiwa vitendo vya rushwa na utapeli. HABARI SOS Médias Burundi

Wakimbizi

Tanzania : viongozi wanahakikisha kuwa unyanyasaji dhidi ya wakimbizi wa Burundi unapuziwa

Wizara wa mambo ya ndani inahakikisha kuwa wakimbizi wa Burundi wananyanyaswa na polisi ndani ya kambi. Wizara hiyo inatoa ahadi ya kushughulikia swala hilo lakini haonyeshi ishara yoyote. Badala yake

Jamii

Cibitoke-Gitega : wazazi wazidiwa na kupanda kwa bei ya vifaa vya shule

Siku chache kabla ya mwaka wa masomo 2023-2024 kuanza, wazazi pamoja na wanafunzi mkoani Cibitoke (kaskazini-magharibi mwa Burundi) na Gitega (mji mkuu wa kisiasa kati kati mwa Burundi) wanashituka kutokana

Haki za binadamu

Burundi : hutba ya rais Neva itaimarisha vitendo vya uhalifu vinavyotekelezwa na Imbonerakure, kwa mujibu wa Carina Terksakian

Rais Evariste Ndayishimiye jumamosi tarehe 26 agosti 2023, alisifisu jukumu la Imbonerakure katika kufanya doria za usiku na kulinda mipaka. Kwa mujibu wa Carina Terksakian, mtafiti mshirika katika shirika la

Wakimbizi

Dzaleka (Malawi) : wakimbizi watatu wafariki dunia baada ya kufanyiwa mateso

Watu hao ni raia wawili wa Burundi na mwingine mwenye asili ya Rwanda. Walikuwa walikamatwa katika msako wa wakimbizi wanaoishi mijini na kuzuiliwa ndani ya gereza kuu ya Maula. Viongozi

Utawala

RDC-Burundi : rais Neva anaendelea kutafuta mikataba kwa ajili ya FDNB*

Burundi na jamuhuri ya kidemokrasia ya Kongo zilisaini makubaliano katika sekta ya ulinzi tarehe 28 agosti mjini Kinshasa mji mkuu wa RDC (jamuhuri ya kidemokrasia ya Kongo). Marais hao wawili

Jamii

Gitega : watu saba wapewa adhabu ya kifungo cha mwaka mmoja na miwili jela kwa kuhusika na ushoga

Kati ya wale saba walioadhibiwa kwa kuhusika na ushoga, watano walikatiwa kifungo cha miaka miwili jela. Wawili mwaka mmoja jela. Wengine 18 waliachiliwa na mahakama kuu ya Gitega (kati kati

Usalama

DRC : siku chache baada ya muhula wake kumalizika, kikosi cha EAC chaomba kuongezewa muda

Kikosi cha kanda ya jumuiya ya Afrika mashariki EAC kilichotumwa katika mkoa wa kivu kaskazini (mashariki mwa DRC) kutokana na waasi wa M23 kudhibiti maeneo kadhaa, kinaomba kupewa muda wa

Usalama

Rugombo : watu wawili, mke na mumeo wapatikana wakiwa maiti nyumbani kwao

Tharcisse Nsanzamahoro (miaka 49) na mke wake Thérèse Nzohabonimama, miaka 52 walipatikana wakiwa maiti nyumbani kwao jumapili hii asubuhi kwenye transversale 3 tarafani Rugombo katika mkoa wa Cibitoke (kaskazini magharibi

Uchumi

Musigati : amri ya kung’oa heka 50 za mashamba ya miwa

Mkuu wa tarafa alichukuwa uamzi wa kupiga marufuku miwa katika bonde la tarafa ya Musigati mkoa wa Bubanza (magharibi mwa Burundi). Zao hilo litatoa nafasi kwa mazao mengine ya vyakula,