Posts From Jean Ntumwa
Nyarugusu (Tanzania): mkimbizi alikatwa mkono na afisa wa polisi
Afisa wa polisi alimkata kabisa mkono mkimbizi wa Kongo baada ya mapigano katika kambi ya Nyarugusu nchini Tanzania. Wenzake wanadai vikwazo vya kupigiwa mfano dhidi ya mhusika wa shambulio hilo.
Kesi-Bunyoni: Waziri mkuu huyo wa zamani anachukizwa na hali ya kinyama ya kuwekwa kizuizini na kuomba aachiliwe kwa muda
Kuonekana hadharani kwa mara ya kwanza Alhamisi kwa Waziri Mkuu wa zamani Alain Guillaume Bunyoni mbele ya Mahakama ya Juu. Kesi hiyo ilifanyika katika gereza kuu la Gitega, chini ya
Burundi : ni lazima iwepo sera ya misharaha inayovutia ili kuwazuia waganga kwenda nje ya nchi (Chama cha wafanyakazi)
Mishahara midogo pamoja na ukosefu vifaa vya kutosha ndio sababu kuu ya waganga wa Burundi kutoroka na kwenda kuhudumu katika nchi zingine. Ni tamko la kiongozi wa chama cha kutetea
Mahama (Rwanda) : ukosefu wa mara kwa mara wa gesi kwa ajili ya kupika chakula
Wakimbizi katika kambi ya Mahama nchini Rwanda wanalaani hali ya mara kwa mara ya kukosa gesi ya kupika chakula. Kila mwezi gesi inachelewa kwa angalau wiki mbili. Hali hiyo inazidisha
Gihanga : bibi kizee wa zaidi ya miaka sabini auwawa
Mwanamke mwenye wa miaka 75 alikatwa kichwa na watu wasiojulikana bado katika kijiji cha Rugunga tarafa ya Gihanga mkoa wa Bubanza (magharibi mwa Burundi). Polisi tayari iliwakamata watuhumiwa watatu. HABARI
Nyarugusu (Tanzania) : misaada yasimamishwa kwa wakimbizi zaidi ya 200 wenye uraia wa Burundi wanaotembea na ulemavu
Idadi kubwa ya wakimbizi wenye uraia wa Burundi wanaoishi na ulemavu hawakupata msaada wao wa mkaa. Zaidi ya 200 kati yao hawakuona majina yao kwenye orodha ya wanaohitaji misaada. Wanakosoa
Cibitoke-Gitega : wazazi wazidiwa na kupanda kwa bei ya vifaa vya shule
Siku chache kabla ya mwaka wa masomo 2023-2024 kuanza, wazazi pamoja na wanafunzi mkoani Cibitoke (kaskazini-magharibi mwa Burundi) na Gitega (mji mkuu wa kisiasa kati kati mwa Burundi) wanashituka kutokana
Gitega : watu saba wapewa adhabu ya kifungo cha mwaka mmoja na miwili jela kwa kuhusika na ushoga
Kati ya wale saba walioadhibiwa kwa kuhusika na ushoga, watano walikatiwa kifungo cha miaka miwili jela. Wawili mwaka mmoja jela. Wengine 18 waliachiliwa na mahakama kuu ya Gitega (kati kati
Kesi-Bunyoni : sheria nchini Burundi yafunga akaunti za waziri mkuu wa zamani
Benki kuu ya Burundi BRB ( benki ya jamuhuri ya Burundi) ilitoa amri kwa mashirika ya fedha yote ili yasiruhusu kuondoa au kuweka pesa kwenye akaunti za waziri mkuu wa
DRC (Kalehe) : watoto saba wafariki dunia kwa kuteketezwa na moto ulioibuka katika kambi ya wahanga wa mafuriko
Watoto saba wa angalau miaka mitano walifariki dunia katika ajali ya moto uliovamia kambi ya wakimbizi ya wahanga wa mafuriko ya mwezi mei iliyopita. Zaidi ya nyumba 400 ziliungua katika
