Siasa-faut

Siasa-faut

Uvira : zaidi ya watu wengine 300 kutoka Burundi wakimbilia nchini DRC

Wanapewa hifadhi katika kambi ya muda ya Sange ndani ya wilaya ya Uvira mkoa wa kivu-kusini (mashariki mwa DRC) tangu siku chache zilizopita. Wahusika ni kutoka hususan katika mikoa ya

Siasa

Bubanza: Mbunge Fabien Banciryanino aibua mjadala

Katika sherehe za kuomboleza mauwaji ya rais Melchior Ndadaye, mbunge wa zamani Fabien Banciryanino aliweka shaada za mauwa ambako ameandika kuwa demokrasia ilidaiwa na Ndadaye haijaonekana. Jambo hilo limeibua mjadala.

Siasa-faut

Muyinga: Zaidi ya wapinzani 50 wanazuiliwa jela

Wananchi ambao kwa sehemu kubwa ni waumini wa dini ya kislam wanazuiliwa katika gereza la polisi Muyinga (Kaskazini-mashariki mwa Burundi) tangu jumapili tarehe 9 oktoba.Wanatuhumiwa kufanya mkutano kinyume cha sheria

Siasa

Kabarore: walimu walazimishwa kutoa michango

Walimu katika tarafa ya Kabarore mkoa wa Kayanza (Kaskazini mwa Burundi) walilazimishwa kutoa michango ya pesa ili kufadhili miradi ya chama tawala cha CNDD-FDD. Wahusika wanatupilia mbali kile wanachoita “ukiukwaji

Siasa

Makamba: Vijana Imbonerakure wahamishwa nje ya shule ya Makamba

Wazazi wa wanafunzi wa shule ya kipili ya Makamba iliyo kwenye makao makuu ya mkoa huo (kusini mwa Burundi) walijiridhisha baada ya kundi la Imbonerakure (Wafuasi wa chama tawala cha

Siasa-faut

DRC (Beni) : Shambulio jingine la waasi wa ADF limewauwa makumi ya watu eneo la Banande-Kainama

Waasi wa kundi la silaha la (ADF) wamefanya shambulio jingine la mauwaji usiku wa jumanne kuamkia jumatano katika kijiji cha Vido eneo la Banande-Kainama kanda ya Beni-Mbau katika wilaya ya