Burundi : bei ya mbolea ya kizungu yapandishwa
Burundi : bei ya mbolea ya kizungu yapandishwa
Serikali ya Burundi ilipandisha bei ya mbolea ya kizungu. Hayo yalifahamishwa na waziri wa kilimo katika mkutano na wandishi wa habari alhamisi tarehe 14 septemba iliyopita. Sanctus Niragira alisisitiza kuwa
Burundi : viongozi wa Burundi wapiga marufuku kongamano la kimataifa la akinamama waumini wa kikristu
Viongozi wa Burundi alhamisi hii walifahamisha kuwa kongamano la kimataifa la kikristu la akinamama halitafanyika. Kongamano hilo liliandaliwa na shirika linaloongozwa na mchungaji kutoka Rwanda. Waziri wa mambo ya ndani
Bujumbura : uimarishwaji wa usalama mbele ya RTNB wasababisha wasi wasi
Wafanyakazi wa radio na televisheni ya Burin di (RTNB) kituo cha matangazo cha serikali, walishituka kuona ijumaa asubuhi, kikosi kikubwa cha usalama pamoja na uwepo wa mbwa wa polisi kwenye
Mahama (Rwanda) : ukosefu wa mara kwa mara wa gesi kwa ajili ya kupika chakula
Wakimbizi katika kambi ya Mahama nchini Rwanda wanalaani hali ya mara kwa mara ya kukosa gesi ya kupika chakula. Kila mwezi gesi inachelewa kwa angalau wiki mbili. Hali hiyo inazidisha
Nyarugusu (Tanzania) : askali wanne wasimamishwa kwa tuhuma za jaribio la wizi
Askali polisi walifumaniwa wakifanya wizi ndani ya makaazi ya mfanyabiashara mmoja katika kambi ya Nyarugusu. Polisi hao walikamatwa pamoja na walinzi wa kawaida watatu wa kambi. Wakimbizi wanaomba adhabu kali
Gihanga : bibi kizee wa zaidi ya miaka sabini auwawa
Mwanamke mwenye wa miaka 75 alikatwa kichwa na watu wasiojulikana bado katika kijiji cha Rugunga tarafa ya Gihanga mkoa wa Bubanza (magharibi mwa Burundi). Polisi tayari iliwakamata watuhumiwa watatu. HABARI
Burundi : bei ya tiketi ya usafiri yapanda
Waziri wa biashara alitangaza jumatano hii bei mpya na nauli ya usafiri ndani ya mji mkuu wa kiuchumi wa Bujumbura na katika ya mikoa. Bei ya tiketi ndani basi mjini
DRC (Uvira) wakimbizi wawili wenye asili ya Burundi wakamatwa kwa jaribio la mauwaji
Wakimbizi wenye asili ya Burundi katika kambi ya muda ya Kavimvira mjini Uvira katika mkoa wa Kivu kusini mashariki mwa DRC walikamatwa kwa tuhuma za jaribio la mauwaji. Mmoja anafuatiliwa
Burundi : bei ya mafuta ya gari yapanda kwa mara ya pili katika kipindi cha miezi miwili
Bei ya mafuta ya gari aina ya petroli (essence) ilitoka kwenye bei ya 3895 na kupanda hadi 4550 sarafu za Burundi sawa na ongezeko la franka 665. Bei ya mazout
Gitega : hakuna sheria miaka 27 baada ya mauwaji ya askofu Joachim Ruhuna
Askofu Joachim Ruhuna mkuu zamani wa dayosezi ya Gitega aliuwawa tarehe 9 septemba 1996. Mauwaji hayo yalifanyika karibu na mto wa Mubarazi. Katika kipindi hicho, maeneo ya Bugendana na Mutaho
