Archive
Mahama (Rwanda) : mkimbizi wa Burundi afariki dunia baada ya kupigwa na wakimbizi kutoka Kongo
Emmanuel Ruremesha aliuwawa jumanne hii tarehe 28 februari. Alifariki kutokana na vipigo alivyofanyiwa wakati wa ugomvi na raia wa Kongo usiku wa kuamkia jumanne hii. Polisi tayari ilikamata watu kadhaa
Rwanda-DRC : jeshi la Rwanda lauwa mwanajeshi wa tatu wa Kongo
Jeshi la Rwanda lilifahamisha ijumaa jioni kumuuwa mwanajeshi wa tatu wa Kongo. Kulingana na tangazo, jeshi la Rwanda linafahamisha kuwa mwanajeshi huyo aliyeuwawa alivuka na kuingia katika ardhi ya Rwanda.
Mahama (Rwanda) : Bidhaa za vyakula zimepanda bei kwa kiwango kikubwa
Kwa kipindi cha angalau miezi mitano, takriban bidhaa zote mahitajio muhimu zilipanda bei mara dufu na hata mara tatu. Wakimbizi wanadai kuwa pesa wanazopewa hazitoshi kukidhi mahitaji yao hata kwa
Ituri: zaidi ya wananchi 200 waliuwawa na waasi katika kipindi cha miezi miwili
Tangu mwanzo wa mwaka 2023, hali ya usalama inazidi kuwa ya wasi wasi na kusikitisha katika mkoa wa Ituri karibu miaka miwili tangu kuanzisha serikali ya kijeshi. Wananchi wa kawaida
Rwanda-DRC : Rwandan forces killed a third Congolese soldier
The Rwandan army announced on Friday evening that it had killed a third Congolese soldier. In a press release, the Rwandan army said that the killed soldier had violated the
Gasorwe: School dropouts skyrocketing and raise concerns among education officials
At least 764 school dropouts were recorded in the commune of Gasorwe in the province of Muyinga (north-eastern Burundi) this only first quarter. This triggers worries among school authorities who
Mahama (Rwanda): exponential rise in food prices
In less than five months, almost all food products have doubled or even tripled in price. Refugees point out that the cash distributions they receive may not even be enough
Cibitoke: when land spoliaton pushes owners into exile
In a period of three months, more than 300 people fled the communes of Rugombo and Buganda in the province of Cibitoke (north-west of Burundi). They decided to go into
Gitega : 24 alleged homosexuals in detention
Made up of men, women and young people, the 24 persons have been detained since February 23 in the political capital Gitega (central Burundi). They are suspected of forming groups
North Kivu : timid demonstration against President Macron’s arrival in the DRC
A demonstration has been organized in Goma this Thursday since the morning hours. Citizen movements and pressure groups are protesting against the arrival of French President Emmanuel Macron in the
