Archive

Security

Rwanda-DRC : Paul Kagame akosoa mandamano dhidi ya Macron

Rais wa Rwanda anaona kuwa mandamano yaliyoandaliwa nchini DRC dhidi ya ziara ya hivi karibuni ya rais wa Ufaransa Emmanuel Macron mjini Kinshasa hayana umuhimu. Anahakikisha pia kuwa Kigali haihusiki

Security

Kivu-kaskazini : mandamano dhidi ya ziara ya rais Macron nchini DRC yanafahamisha bila ushawishi mkubwa

Mandamano hayo yaliandaliwa alhamisi hii mjini Goma tangu asubuhi. Makundi ya ushawishi pamoja vuguvugu la wananchi yanapinga ujio wa rais wa ufaransa Emmanuel Macron nchini Jamuhuri ya kidemokrasia ya Kongo.

Justice En

Gitega: watu 24 watuhumiwa kufanya mapenzi ya watu wa jinsia moja wako jela

Wakiwa wanaume, wanawake na vijana, watu hao 24 wako gerezani tangu februari 23 iliyopita katika jiji kuu la kisiasa la Gitega (kati kati mwa Burundi). Wanatuhumiwa kuunda jenge la wapenzi

Refugees

Kakuma (Kenya): two Burundian refugees killed

Two Burundian refugees have been killed and several others injured, in a week, at Kakuma camp in northwestern Kenya. Nearly all the victims were ambushed allegedly by the South Sudanese

Justice En

Gitega: an alleged robber lynched by residents

An alleged thief was badly beaten with sticks and then finished off with clubs, being tied to a tree by angry residents. The incident took place on the Rukoba hill

Security

Masisi: timid resumption of activities in Rubaya

A few businesses reopened this Tuesday and Wednesday, in the mining town of Rubaya in the territory of Masisi in the province of North Kivu (eastern DRC), after the entity

Society

Vugizo: a young girl’s lifeless body discovered

Sophie Irakoze’s body (20) was seen on Tuesday. The victim had his throat slit in a garden of the communal school of Gishiha in the commune of Vugizo in the

Politic

Burundi : Ndabirabe na tathmini yake ya sera za kiuchumi na kisiasa

Kuna video mbili zilizotoka wiki moja iliyopita na kupata umarufu kwenye mitandao ya kijamii nchini Burundi. Muheshimiwa Gélase Ndabirabe spika wa baraza la bunge la Burundi kupitia video hizo alituelimisha

Human Rights

Kivu-kaskazini : akinamama zaidi ya mia moja walibakwa na waasi wa M23 (mashirika ya kiraia)

Shirika la akinamama wakimbizi wa ndani lilifahamisha kuwa zaidi ya akinamama mia moja walibakwa na waasi wa M23. Wiyala za Rutshuru, Nyiragongo na Masisi ndani ya Kivu kaskazini (mashariki mwa

Human Rights

Bujumbura : watetezi watano wa haki za binadamu waripoti mahakamani

Watetezi watano wa haki za binadamu waliripoti mahakamani jumatatu hii mchana. Kesi ilisikilizwa katika gereza kuu la Bujumbura maarufu Mpimba. Kulingana na sheria ya jinai nchini Burundi, uamzi ungetolewa jumatano