Archive

Society

Burundi: shortage of beverages in the north and north-eastern provinces

The scarcity of drinks from Brarudi (Burundi Brewery Company) has been observed for a few days in the provinces of Kayanza, Kirundo, Ngozi and Muyinga in the north and north-east

Security

Mutaho: the alleged murder of the Régie Nationale des Postes’ manager received a life sentenced

In a swift trial in the criminal chamber of the high court of Gitega (political capital) this Saturday, Chadrack Irakoze (30 years) was sentenced to life imprisonment for the premeditated

Health

Bujumbura: mripuko wa maradhi ya kipindupindu

Takriban watu 17 walipatikana na ugongwa wa Kipindupindu katika tarafa ya Kinama (kaskazini mwa jiji la biashara la Bujumbura) kulingana na waakazi. Wanahakikisha kuwa watu wawili tayari walifariki dunia. Ni

Security

Rwanda-DRC: jamii ya kimataifa inasifu amani ya mdomoni (Paul Kagame)

Imekuwa mara ya kwanza kwa rais wa Paul Kagame kuchukuwa muda mrefu kwa ajili ya kuzungumzia hali ya nje ya nchi yake na kujieleza katika lugha ya kingereza wakati akihutubia

Human Rights

Burundi: rais Neva anawatuliza watuhumiwa wanaofuatiliwa na ICC

Rais wa Burundi Evariste Ndayishimiye aliongoza kipindi chake maluum kinachofunga mwaka na kuzungumzia maswala muhimu. Kati ya hayo, ni matamshi ya hivi karibuni ya ICC (mahakama ya kimataifa ya uhalifu

Security

Mutaho: aliyefanya mauwaji ya mrasibu wa kituo cha posta ahukumiwa kifungo cha maisha jela

Katika kesi ya mafumanio mbele ya chumba cha uhalifu cha mahakama kuu ya Gitega (mji mkuu wa kisiasa) jumamosi hii, Chadrack Irakoze (miaka 30) alihukumiwa kifungo cha maisha jela kwa