Haki za binadamu
Kivu-kaskazini : watetezi wa haki za binadamu wako hatarini katika maeneo ya migogoro ya silaha
Watetezi wa haki za binadamu katika wilaya ya Rutshuru wanatahadharisha kuhusu vitisho dhidi yao kutoka kwa viongozi wa makundi ya waasi. Wanatoa takwimu za wanaharakati 18 waliouwawa na makundi ya
Uvira : watu wawili wauwawa
Watu hao ni wanaume wawili wa jamii ya Banyamulenge. Waliuwawa na watu wanaobebelea silaha ambao wanadaiwa kuwa ni waasi wa kundi la Mai Mai jumapili hii alasiri. Kisa kilitokea katika
Cibitoke : Zaidi ya wafungwa 180 ndani ya gereza ndogo ya polisi
Watu 178 wanazuiliwa ndani ya gereza ya kamishna ya polisi mkoani Cibitoke (kaskazini magharibi mwa Burundi) ambayo ina urefu wa mita 8 kwa upana wa mita 4. Idadi kubwa ya
DRC : raia wa Kongo waelekea kupata kadi ya uraia
Mkataba ulitiwa saini alhamisi hii tarehe 8 juni kati ya tume ya kitaifa ya uchaguzi (CENI), ofisi ya kitaifa ya utambulisho na wananchi (ONIP) pamoja na idara ya kitaifa ya
DRC (Beni) : watu zaidi ya kumi wauwaw a katika shambulio jingine la kundi la ADF eneo la Rwenzori
Watu 13 waliuwawa katika shambulio jingine ya waasi wa AFD (nguvu zilizoungana kwa ajili ya demokrasia) katika usiku wa alhamisi kuamkia ijumaa . Shambulio hilo lilifanyika katika kitongoji cha Bukokoma
Malawi: zaidi ya wakimbizi 400 kutoka nchi za maziwa makuu wakamatwa na polisi
Ma mia ya wakimbizi kutoka Rwanda, Burundi na Kongo ambao kati yao kuna waliokuwa wakifanya biashara kinyume cha sheria walikamatwa katika mji wa Lilongwe na miji mingine baada ya kupinga
Burundi: utawala wa rais Ndayishimiye unafanya mauwaji kama ule wa mtangulizi wake Nkurunziza
Shirika la kutetea haki za binadamu la Iteka linatoa tahadhari . Katika ripoti yake ya mwisho, shirika hilo la zamani kabisa la kutetea haki za binadamu nchini Burundi limetoa orodha
RDC (Ituri) : angalau wananchi 40 waliuwawa na waasi wa CODECO
Vijiji vitatu vya eneo la Banyali Kilo, wilayani Djugu katika mkoa wa Ituri mashariki mwa DRC vililengwa na mashambulizi ya wakati mmoja ya waasi wa CODECO (shirikisho kwa ajili ya
Bujumbura : kongamano lisilokuwa la kawaida la chama cha CNL lasimamishwa kwa kosa “la tahajia”
Kutokana na kosa katika kuandika barua inayotumwa kwa waziri wa mambo ya ndani, chama cha upinzani cha CNL kilizuiliwa kuandaa kongamano lake kuu lililokuwa limepangwa kufanyika mchana wa ijumaa tarehe
Ituri: watoto waangamia katika mashambulizi ya makundi ya silaha mkoani Ituri
Tangu disemba 2022, angalau watoto 60 waliuwawa katika vurugu za makundi ya silaha mkoani Ituri kaskazini mashariki mwa jamuhuri ya kidemokrasia ya Kongo. Takwimu hizo zilitolewa na ujumbe wa shirika
