DRC – Rutshuru : usalama wazidi kuwa mbaya katika kitongoji cha Busanza
DRC – Rutshuru : usalama wazidi kuwa mbaya katika kitongoji cha Busanza
Wakaazi wa kitongoji cha Busanza ndani ya kijiji cha Bwisha wilayani Rutshuru mashariki mwa jamuhuri ya kidemokrasia ya Kongo walaani kuona visa vya usalama mdogo vikiendelea kushuhudiwa mnamo siku hizi
Cibitoke : watu watano wenye asili ya Rwanda wanaobebelea silaha waliuwawa katika mapigano na jeshi la Burundi ndani ya msitu wa Kibira
Milio ya silaha nzito ilisikika tangu ijumaa iliyopita ndani ya msitu wa hifadhi wa Kibira kwenye milima ya Gasenyi na Gafumbegeti tarafani Mabayi mkoa wa Cibitoke (kaskazini-magharibi mwa Burundi). Kwa
Uvira : watu wawili wauwawa
Watu hao ni wanaume wawili wa jamii ya Banyamulenge. Waliuwawa na watu wanaobebelea silaha ambao wanadaiwa kuwa ni waasi wa kundi la Mai Mai jumapili hii alasiri. Kisa kilitokea katika
Cibitoke : Zaidi ya wafungwa 180 ndani ya gereza ndogo ya polisi
Watu 178 wanazuiliwa ndani ya gereza ya kamishna ya polisi mkoani Cibitoke (kaskazini magharibi mwa Burundi) ambayo ina urefu wa mita 8 kwa upana wa mita 4. Idadi kubwa ya
DRC (Kivu kaskazini) : shughuli zaanza pole pole kwenye mpaka wa Bunagana
Gavana mwanajeshi wa jimbo la Kivu kaskazini Constant Ndima alitangaza kuwa harakati kwenye mpaka wa Bunagana (kati ya Uganda na DRC) ni lazima zianze tena . Eneo hilo liko chini
DRC : raia wa Kongo waelekea kupata kadi ya uraia
Mkataba ulitiwa saini alhamisi hii tarehe 8 juni kati ya tume ya kitaifa ya uchaguzi (CENI), ofisi ya kitaifa ya utambulisho na wananchi (ONIP) pamoja na idara ya kitaifa ya
Kayogoro : wafuasi wa vyama vya upinzani watiwa wasi wasi na sensa inayofanyika
Wafuasi wa vyama vya upinzani wanasema kuwa wanahofia mabaya kutokea kufuatia sensa iliyoanza jumatano tarehe 7 juni katika kijiji vyote vya tarafa ya Kayogoro mkoa wa Makamba (kusini mwa Burundi)
DRC (Beni) : watu zaidi ya kumi wauwaw a katika shambulio jingine la kundi la ADF eneo la Rwenzori
Watu 13 waliuwawa katika shambulio jingine ya waasi wa AFD (nguvu zilizoungana kwa ajili ya demokrasia) katika usiku wa alhamisi kuamkia ijumaa . Shambulio hilo lilifanyika katika kitongoji cha Bukokoma
Burundi : noti mpya za elfu tano na elfu kumi zawekwa katika mzunguko wa pesa
Benki kuu ya Burundi (BRB) ilifamisha kuwa imeweka katika mzunguko wa pesa nchini Burundi noti mpya za elfu tano na elfu kumi kurejelea zile zilizotengenezwa tangu mwaka wa 2018. Gavana
Burundi : Maadhimisho ya siku ya kitaifa ya shujaa wa uzalendo bila ujumbe rasmi
Alhamisi hii, Burundi iliadhimisha kwa mara ya tatu siku ya kitaifa ya uzalendo ambayo pia ni kwa niaba ya rais Nkurunziza aliyepandishwa na kupewa hadhi ya mfano na shujaa wa
