North Kivu: lull calm in Sake after a day under high tension
North Kivu: lull calm in Sake after a day under high tension
The fighting between the D.R Congo army and the M23 rebels in the city of Sake, in the territory of Masisi in the province of North Kivu (in the east
Tanzania: UNHCR reaffirms support for refugees
The UNHCR Country Representative in Tanzania is visiting refugee camps across the country. She reassured them of their permanent support this year. Both in Nyarugusu and in Nduta, Mahoua Parums,
Ituri: several dead others seriously injured in a new attack by suspected Zaire militiamen in Djugu
Nine civilians were killed and at least thirty-nine others seriously injured in an incursion on Monday February 6. The attack is blamed on the Zaire armed group in the village
Nyabihanga: two Imbonerakure in detention
Emmanuel Ndimurirwo and César Sinduhijimana are detained at the provincial police station in Mwaro (central Burundi) since Wednesday of last week. Native of Nyabihanga commune (same province), they are prosecuted
Rumonge : vijana wazuiliwa kuingia nchini Tanzania na DRC kwa hofu ya kwenda kujiunga na makundi ya silaha
Kwa kipindi cha wiki tatu sasa, ni marufuku kwa warundi kuingia nchini Jamuhuri ya kidemokrasia ya Kongo na Tanzania. Vijana wanatuhumiwa kutaka kujiunga na makundi ya silaha ya warundi yanayopatikana
Zambia : karibu warundi 30 wanazuiliwa jela kwa kosa la uhamiaji haramu
Polisi nchini Zambia inafahamisha kuwa iliwakamata raia kutoka Burundi 29 kwa kosa la uhamiaji haramu. Walipitia Tanzania na lengo lao lilikuwa kufika nchini Afrika ya kusini. Wanaharakati wanasema ni biashara
Masisi : hofu imetanda eneo la Sake kutokana na mapigano kati ya jeshi na kundi la M23
Hali ya taharuki imeshuhudiwa alhamisi hii ndani ya jiji la Sake kwenye umbali wa takriban kilometa 20 magharibi ya mji wa Goma( makao makuu ya mkoa wa Kivu kaskazini) mashariki
Nyarugusu (Tanzania) : mashamba mengi ya mahindi kuharibiwa na uongozi wa kambi hiyo
Visa hivyo vimeripotiwa mwanzoni mwa wiki hii katika kambi ya Nyarugusu nchini Tanzania. Mkuu wa kambi ya wakimbizi ya Nyarugusu aliharibu shamba la mahindi kwa ajili ya kupiga vita shughuli
Ngozi: uhaba wa chakula kwenye gereza kuu
wafungwa katika gereza kuu la Ngozi (kaskazini mwa Burundi) wanasema kuwa wanateseka kutokana na ukosefu wa chakula. Walioathirika zaidi ni wale wanaotoka katika mikoa ya Kirundo na Kayanza (kanda hiyo
Masisi : strong tension in Sake following the fighting between the army and the M23
A general panic was observed this Thursday in the city of Sake,about twenty kilometers west of Goma (capital of North Kivu) in eastern Congo following the fighting between the Congolese
