Security

Security

Mkutano wa baba François na waathiriwa wa mashariki mwa DRC: maumivu yenu ni maumivu yangu (baba mtakatifu)

Mkuu wa kanisa katoliki alikutana jumatano hii alasiri na wawakilishi wa wahanga wa maovu yanayotendeka mashariki mwa Kongi ambako makundi mengi ya silaha ya ndani na nje yanaripotiwa. Aliwapokea pia

Society

Masisi : jeshi la FARDC linajaribu kuwaondoa waasi wa M23, waasi wamewashinda

Mapigano makali yaliripotiwa kati ya jeshi la Kongo na waasi wa M23 katika maeneo mengi ya wilaya ya Masisi ndani ya mkoa wa Kivu kaskazini mashariki mwa Kongo siku ya

Politic

DRC: jamii ya kimataifa yafumbia macho vurugu zinazowakabili wananchi wa Kongo (Baba mtakatifu François)

Baba mtakatifu François jumanne hii tarehe 31 januari alianza rasmi ziara ya siku sita barani Afrika. Anataraji kufanya siku nne nchini DRC na kumalizia siku zinazosalia nchini Sudan kusini. Alilaani

Society

DRC: the international community has resigned to the violence devouring the Congolese people (Pope Francis)

Pope Francis began a six-day visit to Africa on Tuesday, January 31, 2023. He will spend four days in the DRC then move to South Sudan. He denounced among others

Security

Masisi : FARDC try to dislodge M23, but the rebel group defies them

On Tuesday, January 31, 2023, violent fighting opposed the Congolese army to M23 rebels in several localities in the territory of Masisi in the province of North Kivu in eastern

Security

Rwanda-DRC: all Rwandan army officers assigned to regional mechanisms recalled

Rwanda on Tuesday recalled all its officers deployed in various regional mechanisms, on the Congolese soil following a decision by Kinshasa to expel Rwandan officers assigned to the EAC force

Security

Rwanda-DRC : maafisa wakuu wa Jeshi la Rwanda wanaohudumu katika mashirika ya kikanda wameitishwa

Rwanda imeitisha jumanne hii maafisa wakuu wa jeshi wanaohudumu katika mashirika ya kikanda ambao wako kwenye ardhi ya Kongo. Ni kufuatua hatua ya Kinshasa ya kuwafurusha wale maafisa ambao wanahudumu

Security

Ntega : wanawake tisa waliuwawa na waume zao kwa kipindi cha mwaka mmoja

Wakaazi wa tarafa ya Ntega mkoani Kirundo (kaskazini mwa Burundi) waliomba adhabu ya kunyongwa iweze kurudishwa kwa ajili ya kushughulikia watu wote wanaofanya mauwaji. Ombi hilo limejiri baada ya mauwaji

Society

Ntega : nine women killed by their husbands in one year

Residents of Ntega districts in Kirundo province (northern Burundi) have called for the death penalty to be reinstated to execute anyone who perpetrated murder. This request comes following an assassination

Security

Meheba (Zambia) : dozens of houses destroyed by torrential rains

The months of December and January are the rainiest in Zambia, especially in the northwestern part which is home to the Meheba refugee camp. The latter has already recorded several