Security
Photo of the week: nearly a hundred hostages freed in Beni and Irumu in three months
At least 98 hostages, in hands of the ADF (Allied Democratic Forces), were recently freed by the DRC and Uganda’s coalition forces. The operations took place in Beni (North Kivu
Mutaho: the alleged murder of the Régie Nationale des Postes’ manager received a life sentenced
In a swift trial in the criminal chamber of the high court of Gitega (political capital) this Saturday, Chadrack Irakoze (30 years) was sentenced to life imprisonment for the premeditated
Rwanda-DRC: jamii ya kimataifa inasifu amani ya mdomoni (Paul Kagame)
Imekuwa mara ya kwanza kwa rais wa Paul Kagame kuchukuwa muda mrefu kwa ajili ya kuzungumzia hali ya nje ya nchi yake na kujieleza katika lugha ya kingereza wakati akihutubia
Mutaho: aliyefanya mauwaji ya mrasibu wa kituo cha posta ahukumiwa kifungo cha maisha jela
Katika kesi ya mafumanio mbele ya chumba cha uhalifu cha mahakama kuu ya Gitega (mji mkuu wa kisiasa) jumamosi hii, Chadrack Irakoze (miaka 30) alihukumiwa kifungo cha maisha jela kwa
Rwanda-DRC: tuhuma za DRC kuwa Rwanda inafanya upelelezi dhidi yake ni ongezeko la vishawishi kwa wananchi kushambulia
Ofisi ya msemaji wa serikali ya Rwanda ilitoa tangazo ambamo inasema kuwa kisa cha kuwafunga wananchi wa Rwanda wawili katika mji mkuu wa Kongo kwa tuhuma za kufanya ujasusi ni
Minembwe: the Congolese army and the Twirwaneho armed group have lost 11 elements
The FARDC (Armed Forces of the Democratic Republic of Congo) and the Twirwaneho armed group clashed on Thursday. Hostilities took place in different localities of Minembwe, an area populated by
Minembwe: jeshi la Kongo na kundi la Twirwaneho walipoteza watu 11
FARDC (jeshi la jamuhuri ya kidemokrasia ya Kongo) na kundi la silaha la Twirwaneho walipigana siku ya alhamisi. Mapigano yalifanyika katika maeneo mbali mbali ya Minembwe, eneo linalokaliwa na wajumbe
Beni: waasi nane wa ADF wauwawa
Jeshi la Kongo linafahamisha kuwa liliwauwa waasi nane na kuwakamata wengine 5 wa ADF (kundi la waasi wa Uganda) alhamisi hii katika kijiji cha Kisasu Ngandu. Ni katika wilaya ya
Cibitoke: kilio cha raia waliofanyiwa mateso na kusikilizwa katika gereza la SNR mkoani
Habari zilizokusanywa kutoka eneo hilo zinasema kuwa watu wawili wanafanyiwa mateso katika gereza la SNR (idara ya kitaifa ya ujasusi) mkoani Cibitoke (kaskazini-magharibi mwa Burundi). Hali hiyo ni kwa kipindi
Rwanda-DRC : spying accusations by the DRC presage an escalation of public incitement to violence
The office of the Rwandan government spokesperson released a statement saying the detention of two Rwandan citizens in the Congolese capital, Kinshasa, on charges of espionage portends an escalation in
