Archive
Mahama (Rwanda): more than a thousand refugees have not received a ration for three months
More than a thousand people including mostly Burundian refugees have no ration for three months. Normally distributed monthly, the ration is given as money in Rwandan currency on beneficiaries’ bank
Kirundo: a woman found hung in her room
A woman was discovered on Monday morning, hanging in her bedroom.The husband of the victim, a soldier assigned to the Makamba camp (southern Burundi) is suspected of having simulated the
Rwanda: wakimbizi wa Kongo walalamika mbele ya ubalozi tofauti mjini Kigali
Wawakilishi wa zaidi ya wakimbizi 70.000 kutoka Kongo wanaopewa hifadhi nchini Rwanda waliwasilisha waraka kwenye balozi tofauti mjini Kigali jumatatu hii tarehe 23 januari ili kufahamisha jamii ya kimataifa kusaidia
Rwanda: more than 3,000 new Congolese refugees received
UNHCR Rwanda announces that it keeps receiving Congolese fleeing their country. Over 3000 have already arrived in a few weeks and a new transit site has been set up in
Rwanda-DRC : jeshi la Rwanda limeshambulia ndege ya kivita ya Kongo
Rwanda inathibitisha kuwa ” imechukuwa hatua za kujilinda na kushambulia ndege ya kivita ya Kongo inayokiuka jumanne hii tarehe 24 januari anga ya Rwanda”. Ni mkasa wa tatu wa aina
Rwanda : zaidi ya wakimbizi wapya 3000 kutoka Kongo wapokelewa
HCR inafahamisha kuwa inaendelea kuwapokea wakimbizi kutoka Kongo wanaokimbilia nchini Rwanda. Zaidi ya wale 3000 tayari waliwasili wiki chache zilizopita. Kituo kipya cha muda kiliandaliwa eneo la Nkamira karibu na
Rwanda-DRC : the Rwandan army fired on a Congolese fighter plane
Rwanda acknowledges “having taken defensive measures and fired on a Congolese warplane which violated the Rwandan airspace on Tuesday, January 24”. This is the third such incident reported by Rwandan
Prince-Regent Charles : the hard road of the dead to their final rest
For days, Prince Régent Charles Hospital located in the commercial capital Bujumbura has had no place in its morgue for the dead. Families of the deceased are complaining. Sources at
Rwanda : Congolese refugees refer to embassies in Kigali
Representatives of more than 70,000 Congolese refugees living in Rwanda on Monday (January 23rd) submitted a petition to various embassies in Kigali, calling on the international community to help end
Bubanza : visa zaidi ya 140 vya Covid-19 vyapatikana katika gereza la mkoa
Zaidi ya wafungwa 140 walipatikana na virusi vya Covid-19 ndani ya gereza kuu la mkoa wa Bubanza (magharibi mwa Burundi). Wengi kati yao walipona baada ya kupokea huduma za matibabu.
