Posts From David Irakoze
Burundi: makamu wa rais anathibitisha uwepo wa uhusiano mbaya kati ya viongozi wa nchi na wandishi wa habari
Prosper Bazombanza alibaini hayo alhamisi hii kando na kongamano kuu la vyombo vya habari. Alilaani kuwa kazi ya uwandishi wa habari inakabiliwa na hali kushirikisha watu wasiokuwa na uzowefu. HABARI
Ituri and North Kivu: at least 18 civilians killed since Sunday
Since last Sunday, assailants assimilated to the ADF (Allied Democratic Forces) have conducted attacks in various localities in the provinces of Ituri and North Kivu in the east of the
Kanyaruchinya: eight deaths recorded in the IDP site
Eight people died between November 17 and 18, in the site of displaced persons who fled the fighting between the Congolese army and the M23 in Rutshuru territory to take
Bukinanyana: waasi wa Rwanda wameuwawa na wengine kukamatwa
Siku chache zilizopita, mapigano kati ya jeshi la Burundi dhidi ya watu wenye kubebelea silaha yalifanyika. Makabiliano yalifanyika katika msitu wa Kibira kwenye tarafa za Mabayi na Bukinanyana (mkoa wa
Bukinanyana: Rwandan rebels killed, others arrested
A few days ago, fighting pitted Burundian army soldiers against gunmen. Clashes took place in the Kibira natural reserve in the districts of Bukinanyana and Mabayi (province of Cibitoke, northwest
Burundi: who is holding journalist Jérémie Misago?
Our colleague has not been found since last Saturday. This Monday, he appeared in a video saying he is safe and sound without revealing his whereabouts. INFO SOS Médias Burundi
Kivu-kaskazini : Mpatanishi Kenyatta ziarani eneo la vita
Katika shabaha ya jukumu lake alilopewa na jumuiya ya afrika mashariki, rais huyo mstaafu wa Kenya Uhuru Kenyatta jumanne hii amekuwa mjini Goma makao makuu ya mkoa wa Kivu-kaskazini mashariki
North Kivu: facilitator Kenyatta visits the combat zone
As part of the facilitation mission entrusted to him by the East African Community states, former Kenyan President Uhuru Kenyatta has been staying since Tuesday in the city of Goma,
Bururi: prison house overcrowded
Bururi prison (southern Burundi) has a number of detainees that exceeds its capacity, sources say, of 383 prisoners as its capacity is 250. INFO SOS Médias Burundi Prison officials report
Gitega: bei ya bidhaa za vyakula imepanda hadi mara mbili, wananchi wana wasi wasi
Wakaazi wa jiji kuu la kisiasa (kati kati mwa Burundi) wanasema kuzidiwa na kupanda kiholela kwa bei ya nafaka za vyakula. Baadhi ya bidhaa za vyakula bei imepanda takriban mara
