Posts From Eloge Willy Kaneza

Refugees

Kakuma (Kenya): refugees denounce the slowness in granting administration documents

Refugees believe that the slowness in granting certain documents has serious economic and psychosocial consequences. They claim they can go a month or more without finding a document that should

Refugees

Nakivale (Uganda): election of new refugee representatives

From December 14 to 16, an election was held to choose new bodies representing the refugee community at Nakivale camp in Uganda. The president is a Congolese re-elected to this

Refugees

Burundi-Rwanda: Gitega inataka kuwahakikishia usalama wakimbizi wa Burundi mjini Kigali

Jumatatu hii, Burundi ilituma wajumbe nchini Rwanda kwa ajili ya kuwahamasisha wakimbizi kutoka Burundi kurejea kwa hiari nchini Burundi. Ujumbe huo inaundwa na watu watano ikiwa ni pamoja na magavana

Refugees

Mahama (Rwanda): more than a thousand refugees suffering from eye diseases

This is the findings from an ophthalmological screening campaign that has been carried out over the past three months in the Mahama camp. The observation is that many Burundian refugees

Security

DRC: kiongozi wa zamani wa waasi Jean Bosco Ntaganda ametumwa katika jela nchini ubelgiji

Kulingana na mkataba wa mahakama ya kimataifa, mahabusu waliokatiwa kesi wanalazimika kutumikia kifungo chao katika nchi iliosaini mkataba wa Roma juu ya uundwaji wa ICC. Jean Bosco Ntaganda kiongozi wa

Security

DRC: serikali inatuhumu Rwanda kutuma kinyume cha wandishi wa habari katika eneo la Rutshuru

Serikali ya Kongo kupitia tangazo rasmi, inalaani uwepo kinyume cha sheria wa wandishi wa habari wenye msimamo wa karibu na Rwanda nchini DRC. Msemaji wa serikali ya Kongo amewataja kama

Security

DRC: M23 inatuhumu serikali kuvunja makubaliano ya kusitisha vita na kuwauwa raia wa kawaida

Kulingana na tangazo la jumatano hii, kundi hilo la waasi linatuhumu jeshi la Kongo kujiunga na makundi ya silaha likiwemo kundi la Mai Mai na FDLR ili kuwauwa raia wa

Politic

Kivu-kaskazini: jeshi la Kongo na mashirika ya kiraia yanatuhumu kundi la M23 kuwauwa raia wa kawaida, wanaomba uchunguzi huru ufanyike

Ma mia ya raia wa kawaida waliuwawa na watu wenye silaha wanaofanana na waasi wa kundi la machi 23 (M23) wiki hii katika kijiji cha Kisharu, eneo la Binza na

Politic

Mkutano wa Nairobi: wawakilishi wa jamii ya Banyamulenge waajiondoa katika mazungumzo

Wawakilishi wa jamii ya Banyamulenge walisusia mazungumzo ya Nairobi tangu alhamisi. Hoja, ni shambulio lililosababisha vifo vya watu saba wajumbe wa jamii hiyo mkoa wa kivu-kusini (Mashariki mwa RDC) tarehe

Security

North Kivu: a dozen fighters captured

More than ten rebels of the Allied Democratic Forces (ADF) have been captured by the coalition of Congolese and Ugandan armies in the territory of Beni in the province of