Governance
Bujumbura: hali inakuwa ngumu kwa aliyekuwa waziri mkuu Alain Guillaume Bunyoni
Jumanne hii alasiri, mawajeshi na polisi walinzi wa makaazi ya aliyekuwa waziri mkuu Alain Guillaume Bunyoni wamerudishwa katika kambi zao. Hayo ni baada ya msako kufanyika kwenye makaazi yake binafsi
Burundi-EAC: Joseph Ntakarutimana elected EALA speaker
The election of Honorable Joseph Ntakarutimana as head of the EAC Legislative Assembly makes Burundi a very important country in the decision-making of this community. Burundi is now at the
Bujumbura: the noose is tightening around former Prime Minister Alain Guillaume Bunyoni
This Tuesday afternoon, soldiers and police officers guarding the residence of former Prime Minister Alain Guillaume Bunyoni were sent back to their respective barracks. This, after a search that took
Nyanza-Lac: mpasuko kati ya wajumbe wa kamati ya kushughulikia migogoro kwenye baraza la tarafa
Inaripotiwa hali ya kutoelewana kati ya wajumbe wa kamati ya mkoa yenye jukumu la kusuhulisha migogoro kati ya wajumbe wa baraza la tarafa la Nyanza-Lac na ofisi ya baraza hilo.
Rumonge: provincial authority is seeking aid for over 3,300 flood victims
On December 5, torrential rains hit localities in the commune and province of Rumonge (Southwest of Burundi). The local authorities gave a balance sheet of 3,370 needy people whose homes
Ruyigi : being late at work among teachers is worth incarceration
Seven teachers from schools in the province of Ruyigi (Eastern Burundi) were arrested on November 17 and 21, and then taken to the cells of the provincial police station by
Rumonge: three people including the former governor heard
The administrator of the district of Muhuta and that of Burambi in the province of Rumonge (Southwest Burundi) were heard this Saturday by the prosecutor at the Court of Appeal
Rumonge: mkuu wa tarafa ya Rumonge amukuta mwenzake wa tarafa ya Buyengero gerezani
Jérémie Bizimana mkuu wa tarafa ya Rumonge mkoa wa Rumonge (Kusini-magharibi mwa Burundi) sasa ni yuko katika gereza la Murembwe tangu ijumaa. Alimkuta jela mwenzake wa tarafa ya Buyengero pamoja
Makamba: a former administrator in detention
The former district administrator of Nyanza-Lac in Makamba province (Southern Burundi) was arrested by the police after appearing before a judicial police officer. The event took place on Wednesday. Jean
Rumonge: the district administrator joins his colleague from Buyengero in prison
Jérémie Bizimana, administrator of the district of Rumonge in the province of Rumonge (Southwest Burundi) is detained in Murembwe prison since Friday. He joins his colleague from the district of
