Security
Uvira: a soldier and two civilians killed
The two civilians, members of a group of young peacekeepers doing night rounds, were killed by gunmen. The soldier was lynched by residents. INFO SOS Médias Burundi It all starts
Mahama (Rwanda) : a Burundian refugee dies after being beaten up by Congolese
Emmanuel Ruremesha died on Tuesday February 28. He succumbed to beatings inflicted on him during a fight with Congolese during the night from Monday to Tuesday. The police have already
Mahama (Rwanda) : mkimbizi wa Burundi afariki dunia baada ya kupigwa na wakimbizi kutoka Kongo
Emmanuel Ruremesha aliuwawa jumanne hii tarehe 28 februari. Alifariki kutokana na vipigo alivyofanyiwa wakati wa ugomvi na raia wa Kongo usiku wa kuamkia jumanne hii. Polisi tayari ilikamata watu kadhaa
Rwanda-DRC : jeshi la Rwanda lauwa mwanajeshi wa tatu wa Kongo
Jeshi la Rwanda lilifahamisha ijumaa jioni kumuuwa mwanajeshi wa tatu wa Kongo. Kulingana na tangazo, jeshi la Rwanda linafahamisha kuwa mwanajeshi huyo aliyeuwawa alivuka na kuingia katika ardhi ya Rwanda.
Ituri: zaidi ya wananchi 200 waliuwawa na waasi katika kipindi cha miezi miwili
Tangu mwanzo wa mwaka 2023, hali ya usalama inazidi kuwa ya wasi wasi na kusikitisha katika mkoa wa Ituri karibu miaka miwili tangu kuanzisha serikali ya kijeshi. Wananchi wa kawaida
Rwanda-DRC : Rwandan forces killed a third Congolese soldier
The Rwandan army announced on Friday evening that it had killed a third Congolese soldier. In a press release, the Rwandan army said that the killed soldier had violated the
North Kivu : timid demonstration against President Macron’s arrival in the DRC
A demonstration has been organized in Goma this Thursday since the morning hours. Citizen movements and pressure groups are protesting against the arrival of French President Emmanuel Macron in the
Rwanda-DRC : Paul Kagame akosoa mandamano dhidi ya Macron
Rais wa Rwanda anaona kuwa mandamano yaliyoandaliwa nchini DRC dhidi ya ziara ya hivi karibuni ya rais wa Ufaransa Emmanuel Macron mjini Kinshasa hayana umuhimu. Anahakikisha pia kuwa Kigali haihusiki
Kivu-kaskazini : mandamano dhidi ya ziara ya rais Macron nchini DRC yanafahamisha bila ushawishi mkubwa
Mandamano hayo yaliandaliwa alhamisi hii mjini Goma tangu asubuhi. Makundi ya ushawishi pamoja vuguvugu la wananchi yanapinga ujio wa rais wa ufaransa Emmanuel Macron nchini Jamuhuri ya kidemokrasia ya Kongo.
Kakuma (Kenya): two Burundian refugees killed
Two Burundian refugees have been killed and several others injured, in a week, at Kakuma camp in northwestern Kenya. Nearly all the victims were ambushed allegedly by the South Sudanese
