Security
Masisi: resurgence of hostilities between the FARDC and the M23
Fighting between the FARDC (DRC army) and M23 rebels is going on in several parts of Masisi. After taking several localities of Matanda and Kamuronza groupment in Masisi region, the
Masisi : Residents demand return to peace before enlisting
The population of the territory of Masisi in the province of North Kivu demands that authorities put an end to insecurity before proceeding with the registration of voters in this
Kirundo : an Imbonerakure leader in detention
The leader of the Imbonerakure (members of the CNDD-FDD party youth league) from the Nyange-Bushaza neighborhood in the urban center of Kirundo (northern Burundi) has just spent a week in
Masisi: wakaazi wanaomba amani kupatikana kabla ya kujiandikisha kwenye uchaguzi
Wananchi wakaazi wa wilaya ya Masisi katika mkoa wa Kivu-kaskazini wanatoa wito kwa viongozi kumaliza tatizo la usalama mdogo kabla ya kuanza kwa zoezi la kuorodhesha wapiga kura eneo hilo
RDC-EAC: mchakato wa kuhakiki na kufuatia hali mashariki mwa DRC unaelekea kuanzishwa
Jumuiya ya Afrika mashariki inapanga kutuma wajumbe wa mchakato wa kuhakiki na kufuatia hali mashariki mwa DRC ambao ni muhimu sana ili kumaliza mzozo. Hayo ni kulingana na tangazo lililowekwa
DRC-EAC: en route to the establishment of a monitoring and verification mechanism in eastern DRC
The East African community plans to send a monitoring and verification mechanism to eastern DRC, a mécanism so crucial to end conflicts, said a press release published on the EAC
Rwanda-DRC : jeshi la Kongo lapinga kuchokoza lile la Rwanda
Alhamisi hii, viongozi wa jeshi la Kongo eneo la Bukavu katika mkoa wa Kivu kusini (mashariki mwa DRC) walijieleza kuhusu kisa kilichoripotiwa na Rwanda siku moja kabla. Rwanda ilidai kuwa
Goma: mwandishi wa habari Jimmy Shukrani Bakomera aachiliwa huru
Mwenzetu huyo amechikiwa huru ijumaa hii asubuhi. Alikuwa katika gereza la ANR ( idara ya ujasusi ya Kongo) katika mji wa Goma (makao makuu ya mkoa wa Kivu kaskazini) tangu
Burundi : viongozi wanahakikisha kukamatwa kwa mwanaharakati mwingine na kumuweka gerezani huku timu yote ikituhumiwa kufadhili ugaidi
Waziri anayehusika na mambo ya ndani na usalama alihakikisha rasmi kukamatwa kwa mjumbe mwingine a wa mashirika. Jina lake ni Prosper Runyange anayehusika na maswala ya ardhi katika shirika la
Goma: mwandishi wa habari azuiliwa na idara ya ujasusi
Jimmy Shukrani Bakomera mwandishi wa habari na ripota wa VOA (Sauti ya Amerika) Kirundi-Kinyarwanda anazuiliwa na idara ya ujasusi ya Kongo tangu alhamisi hii. HABARI SOS Médias Burundi Mwenzetu huyo
