Archive
Bubanza: vijana Imbonerakure 3 wamepinga kuripoti mbele ya askali polisi wa kupeleleza makosa
Wanafunzi 3 wa shule ya Bubanza (ETB), wafuasi wa tawi la vijana Imbonerakure (Wajumbe wa tawi la vijana wa chama cha CNDD-FDD) wamepinga kuripoti mbele ya polisi wa upelelezi wa
Kivu-kaskazini: Jeshi na kundi la M23 wanapigana eneo la Rutshuru karibu na RN2
Mapigano kati ya jeshi la jamuhuri ya kidemokrasia ya Kongo na kundi la machi 23 yameshika kasi alhamisi hii 27 oktoba 2022 katika maeneo ya Chimirwa kwa takriban kilometa 4
Rwanda-DRC: DRC imetuhumu kwa mara nyingine Rwanda kusaidia kundi la M23 (tangazo)
Serikali ya Kongo imetuhumu kwa mara nyingine Rwanda kuunga mkono kundi la machi 23, kundi hilo la waasi linalopigana dhidi ya serikali ya jamuhuri ya kidemokrasia ya Kongo, tunasoma hayo
Kivu-kaskazini : vijiji vyasalia pasina wakaazi
Vijiji vingi katika eneo la Jomba wilaya ya Rutshuru mkoa wa Kivu kaskazini mashariki mwa DRC vimesabaki pasina wakaazi kutokana na mapigano kuibuka tena alhamisi kati ya jeshi la FARDC
North-Kivu: villages are emptying of their populations
Several villages in the Jomba group, territory of Rutshuru in North-Kivu in Eastern DRC are being quitted their inhabitants following the renewal of fighting since last Thursday, between the FARDC
Rwanda-DRC: DRC once again accuses Rwanda of supporting the M23 (press release)
The Congolese government has once again accused Rwanda of supporting the March 23 Movement (M23), a rebel movement fighting the government of the Democratic Republic of Congo (DRC), a statement
Dzaleka (Malawi): general census of refugees
UNHCR and the Government of Malawi are undertaking a general census of all refugees living in Dzaleka camp. The UNHCR officials say they want to update refugee data in addition
Ryansoro: a dead body spotted
The body of Donatien Nkurunziza, roughly 25 years, was found on Tuesday October 25, 2022 in a small bush, near a road on Mahwa village in the commune of Ryansoro
Burundi-UE: Umoja wa ulaya wamusafisha waziri mkuu Gervais Ndirakobuca
Umoja wa ulaya ulitangaza hatua ya kuondoa vikwazo dhidi ya viongozi wakuu wawili ambao ni waziri mkuu Gervais Ndirakobuca na jemedali Godefroid Bizimana, mmoja kati ya washahuri wa rais Ndayishimiye.
Rwanda-Burundi: Burundi yatangaza kufungua upya mipaka yake na Rwanda
Ni waziri wa Burundi wa ushirikiano wa kimataifa aliyetangaza hatua siku ya jumanne. Albert Shingiro hata hivyo alikariri nia ya serikali ya Burundi ya kuona Kigali inawafurusha wanamapinduzi inayowahudumia tangu