Archive

Refugees

Nduta (Tanzania): ghasia kati ya polisi na wakimbizi kutoka Burundi

Tangu weekendi iliyopita, polisi imekuwa katika harakati za kuwakamata wafanyabiashara wanaoendeshea shughuli zao nyumbani. Maduka pia yanachomwa moto. Hasira ya wakimbizi ilipanda hadi kuwarushia mawe polisi. HCR ilijaribu kutuliza hali.

Economy

Burundi: kampuni ya katibu mkuu wa chama cha CNDD-FDD kutuhumiwa kufanya ushindani usio wa haki

Wamiliki wa viwanda wengi na walanguzi wanalalamika juu ya ushindani kwenye soko wa kampuni ya Eagle Mineral Water inayouza maji safi. Kampuni hiyo inamilikiwa na Wakfu wa ”Pax Burundi” chini

Governance

Rumonge: economic activities paralyzed, the population forced to welcome the torch of peace

This Thursday morning, no economic activity was undertaken in the town center of the province of Rumonge (southwest Burundi). The central market of Rumonge was closed by administration authorities as

Refugees

Nduta (Tanzania): riots between the police and Burundian refugees

Since last weekend, the police have been tracking down traders who reportedly run small businesses at home. Shops are also destroyed. The anger of refugees rose and they threw stones

Security

Kayanza: four people including a woman sentenced to life jail in a murder case

They were sentenced by the First Instance Court of Kayanza (north Burundi). In addition to this sentence, the detainees will have to pay a fine of 20 million Burundi francs

Society

Bubanza: explosion of school dropouts due to hunger

Residents at the village of Buhoro in the district and province of Bubanza (western Burundi) complain about the rise in the price of food products. Going to school on an

Security

Minembwe: mwanajeshi mmoja na mchungaji waliuwawa kwa siku mbili

Mwanajeshi wa FARDC ( jeshi la jamuhuri ya kidemokrasia ya Kongo) aliuwawa jumatano hii asubuhi eneo la Minembwe. Ni katika wilaya ya Fizi mashariki mwa Kongo . Katika eneo hilo,

Security

Nyanza-Lac: two people seriously injured following a land dispute

Both people were seriously injured on Tuesday around 6 p.m. in Kazirabageni village, in Nyanza-Lac district in Makamba province (south of the country). Two suspects have been arrested by Nyanza-Lac

Refugees

Kakuma (Kenya): wakimbizi kutoka burundi wameshambuliwa na mmoja alifariki

Kisa hicho kilitokea nyakati tofauti katika kipindi cha chini ya wiki mbili ndani ya kambi ya Kakuma kaskazini magharibi mwa Kenya. Waathiriwa walivamiwa na watu wasiojulikana ambao walimujeruhi mmoja. Waliwapora

Economy

Bubanza: idadi ya wanafunzi wanaoacha shule kutokana na njaa yaongezeka

Wakaazi ya kijiji cha Buhoro tarafa na mkoa wa Bubanza (magharibi mwa Burundi) wanasikitishwa na kupanda kwa bei ya nafaka za vyakula. Kwenda shule bila kutia kitu tumboni ni jambo