Posts From Leila Keza
Rumonge: rais Neva atoa tahadhari kwa naibu mkuu wa chama cha CNDD-FDD na kuahidi kumupeleka mahakamani gavana wa zamani
Rais Ndayishimiye ametoa tahadhari kwa naibu katibu wa chama tawala katika mkoa wa Rumonge (Kusini-magharibi mwa Burundi). Anamutuhumu kuvuruga uchaguzi wa mkuu wa tarafa mpya. Ametoa muda wa wiki moja
RDC: jamii ya Banyamulenge wanahofia mauwaji ya kikabila, wanatoa malalamiko kwa EAC
Madiwani pamoja na viongozi wa jamii ya Banyamulenge eneo la Minembwe (mkoa wa kivu-kusini, mashariki mwa DRC) walimuandikia barua rais wa Burundi Evariste Ndayishimiye kama mwenyekiti wa EAC (jumuiya ya
Kivu-kaskazini: Kundi la M23 linadhibiti zaidi ya vijiji 100
Waasi wa kundi la machi 23 (M23) limechukuwa udhibiti wa jiji la kimkakati la Nyamilima, lilolo katika eneo la Binza tarafa ya Bwisha katika wilaya ya Rutshuru kwenye umbali wa
Gitega: a young man succeeds to manufacture light bulbs and solar panels
Landry Nikiza is a laureate of a Polytechnic University of Burundi. He concentrates his efforts in producing light bulbs and solar panels in Gitega city (political capital). However, this young
Burundi: Floriane Irangabiye ahukumiwa miaka kumi jela
Ni mahakama ya Mukaza katika jiji la Bujumbura iliyotoa hukumu hiyo. Floriane Irangabiye atalazimika kulipa faini ya milioni moja sarafu za Burundi. HABARI SOS Médias Burundi Kesi hiyo imekatwa jumatatu
Rutshuru: clashes reported between the M23 and the Mai-Mai
Clashes were reported on Monday between rebels of the March 23 movement, M23, and the Mai-Mai. The fighting was reported in Kisharu, about thirty kilometers from Kiwanja-centre in Rutshuru territory,
Burundi: President Neva reassures alleged perpetrators of crimes wanted by the ICC
Burundian President Évariste Ndayishimiye hosted his usual end-of-year public conference. He came back to current questions. Among which, the recent statements of the ICC (International Criminal Court) which indicated that
Burundi: rais Neva anawatuliza watuhumiwa wanaofuatiliwa na ICC
Rais wa Burundi Evariste Ndayishimiye aliongoza kipindi chake maluum kinachofunga mwaka na kuzungumzia maswala muhimu. Kati ya hayo, ni matamshi ya hivi karibuni ya ICC (mahakama ya kimataifa ya uhalifu
Beni: eight ADF rebels killed
The Congolese army claims to have killed eight and captured five attackers of the ADF (Allied Democratic Forces) this Thursday in the village of Kisasu Ngandu. The locality lies in
Rwanda-DRC: ndege ya kivita ya Kongo kwa mara nyingine imevunja sheria na kuingia katika anga ya Rwanda
Serikali ya Rwanda ilifahamisha kuwa anga yake imeingiliwa na ndege la kivita ya DRC(Jamuhuri ya kidemokrasia ya Kongo). Viongozi wa Rwanda wamekitaja kisa hicho kama ” cha uchokozi” kinachokiuka makubaliano
