Ituri/Kivu-kaskazini: miili ya raia wa kawaida 27 waliouwawa na wapiganaji wa ADF imepatikana katika eneo la Irumi na Béni
Ituri/Kivu-kaskazini: miili ya raia wa kawaida 27 waliouwawa na wapiganaji wa ADF imepatikana katika eneo la Irumi na Béni
Miili 2O ya watu waliouwawa na waasi kutoka Uganda wa ADF (kundi la waasi) iligunduliwa katika vijiji vingi vya eneo la Irumi mkoa wa Ituri mashariki mwa DRC. Maiti zingine
Nakivale (Uganda): election of new refugee representatives
From December 14 to 16, an election was held to choose new bodies representing the refugee community at Nakivale camp in Uganda. The president is a Congolese re-elected to this
Bweru: a seriously injured woman
Espérance Sibomana, in her forties, is bedridden at the Karusi 50th anniversary hospital (central-eastern Burundi). She was evacuated there after sustaining serious injuries by her husband. The incident took place
Kirundo: who killed the returnee Kambayingwe?
Four people including the provincial CNDD-FDD party secretary in the province of Kirundo (Northern Burundi) and the presidential party’s youth league official at the provincial level are cited in the
Ituri/Nord-Kivu: 27 bodies of civilians killed by ADF fighters discovered in Irumu and Beni territories
Twenty bodies of civilians killed by Ugandan rebels ADF (Allied Democratic Forces) were discovered in several villages in Irumu territory, Ituri province, eastern DRC. Seven others were found in Beni
Burundi-EAC: Joseph Ntakarutimana alichaguliwa kuwa spika wa bunge la EALA
Kumuchaguwa mbunge Joseph Ntakarutimana kuwa spika wa bunge la EAC kumeifanya Burundi kuwa nchi muhimu katika maamuzi ya jumuiya hiyo. Burundi kwa sasa inaongoza taasisi tatu muhimu ambazo ni baraza
Bujumbura: hali inakuwa ngumu kwa aliyekuwa waziri mkuu Alain Guillaume Bunyoni
Jumanne hii alasiri, mawajeshi na polisi walinzi wa makaazi ya aliyekuwa waziri mkuu Alain Guillaume Bunyoni wamerudishwa katika kambi zao. Hayo ni baada ya msako kufanyika kwenye makaazi yake binafsi
Burundi-Rwanda: Gitega inataka kuwahakikishia usalama wakimbizi wa Burundi mjini Kigali
Jumatatu hii, Burundi ilituma wajumbe nchini Rwanda kwa ajili ya kuwahamasisha wakimbizi kutoka Burundi kurejea kwa hiari nchini Burundi. Ujumbe huo inaundwa na watu watano ikiwa ni pamoja na magavana
Meheba (Zambia): Malalamiko ya wakulima
Raia wenye asili ya Burundi, Rwanda, na Kongo wanalalamika juu ya kukosa haki ya kujumuika katika vyama vya ushirika. Wanatupilia mbali upendeleo unaofanywa wakati wa kugawa mbolea ya kizungu kwa
Burundi-EAC: Joseph Ntakarutimana elected EALA speaker
The election of Honorable Joseph Ntakarutimana as head of the EAC Legislative Assembly makes Burundi a very important country in the decision-making of this community. Burundi is now at the
