Burundi: vyama vya wafanyakazi vyasikitishwa na kupanda kwa bei ya bidhaa mahitajio muhimu
Burundi: vyama vya wafanyakazi vyasikitishwa na kupanda kwa bei ya bidhaa mahitajio muhimu
Shirikisho la mashirika ya wafanyakazi nchini Burundi Cosybu na CSB wanasema kusikitishwa na hali ya kupanda kwa bei ya bidhaa mahitajio muhimu. Madhara yake ni kupunguka kwa uwezo wa kununua
Tanzania: viongozi watawafukuza tena wakimbizi wa zamani wa burundi waliorudi uhamishoni
Kwa jumla, ni raia wa burundi 1048 wanaolengwa na hatua hiyo. Wote ni wakimbizi wa zamani waliorudi ukimbizini katika miaka miwili iliyopita baada ya kurudi nchini Burundi. Walengwa hao wanaomba
Tanzania: authorities to expel former Burundian refugees who have returned to exile
In total, there are 1,048 Burundians to be affected by the measure. They are former refugees who have returned to exile in the past two years after being repatriated to
Burundi: unions concerned about the rise in the price of basic necessities
Confederations of Burundi Trade Unions Cosybu and CSB say they are concerned about the rising prices of basic necessities. This results in the deterioration of the purchasing power of civil
Mgogoro mashariki mwa Kongo: EAC inapendelea viongozi wa kijamii kuliko kundi la M23 katika mazungumzo
Rais wa burundi kwa tikiti ya mwenyekiti wa EAC (Jumuiya ya afrika mashariki) ijumaa alimpokea rais mstaafu wa Kenya ili kujadili njia za kumaliza mgogoro unaoendelea mashariki mwa Kongo. Wanafahamisha
Crisis in Eastern Congo: EAC prefers community leaders to M23 in dialogue
The Burundian president, in his capacity as current president of the EAC (East African Community) received this Friday the former president of Kenya Uhuru Kenyatta to talk about possible solutions
Kakuma (Kenya): glaring lack of drinking water
The Kakuma camp in Kenya has a serious lack of drinking water. Refugees fear uncleanness-related diseases. INFO SOS Médias Burundi Two weeks have passed without a drop of drinking water
Kayogoro: the district administrator sacked
Antoine Ndayiragije, administrator of the district of Kayogoro in the province of Makamba (Southern Burundi) was dismissedby the district council. He is accused in particular of not investing himself in
DRC: rais wa jamuhuri ya kidemokrasia ya Kongo anawatolea mwito raia kukusanyika wote ili kulihami taifa lao dhidi ya “Uvamizi wa Rwanda”
Katika hutba yake kwa taifa, raia wa jamuhuri ya kidemokrasia ya Kongo alilaani mwenendo wa Rwanda na kuitaja nchi hiyo kama ya kinafki. Anafahamisha kuwa licha ya juhudi za kidiplomasia
Bujumbura: uhaba wa mafuta ya gari wajitokeza tena
Waendesha magari wanafanya mlolongo mbele ya vituo vya mafuta katika mji mkuu wa kibiashara wa Burundi ili kupata mafuta tangu wiki mbili zilizopita. Kwenye vituo tofauti, magari yanasimama kwa masaa,
