Archive
Goma: vyombo vya habari vingi vyanyimwa haki ya kupata habari
Vyombo vya habari vya ndani na kimataifa vinadai kubaguliwa katika kuripoti matukio yanayojiri kwa wakati huu ndani ya nchi na katika kanda. Wandishi wa habari wanapinga hali ambapo matukio yanayoweza
Mzozo mashariki mwa Kongo : Rwanda na Tanzania zawapokea wakimbizi wapya kutoka Kongo zaidi ya elfu nane
Nchini Rwanda, HCR inayotoa takwimu hizo inaeleza kuwa mahitaji ya kibinadamu yanaongezeka wakati idadi ya wakimbizi kutoka Kongo wanaokimbilia nchini Rwanda kwa ajili ya usalama wao inapozidi kuongezeka. Katika miezi
Crisis in Eastern Congo : Rwanda and Tanzania receive more than 8,000 new Congolese refugees
In Rwanda, the UNHCR, which gives the figures, explains that humanitarian needs are multiplying as the number of Congolese fleeing to Rwanda in search of safety continues to increase. They
Giheta : discovery of a body
The body of Jean Baraton Mizero, 34 years old, driver, was found on the morning of this Friday, March 17, 2023 in the Nyambeho valley, it is exactly in the
Goma : several private media deprived of access to information
National and international media say they are excluded from covering facts that affect the current situation in the country and the region. Journalists protest against the fact that several activities
Lusenda-Mulongwe : njaa yapiga hodi katika kambi za wakimbizi kutoka Burundi
Wakimbizi wa kambi za Lusenda na Mulongwe katika wilaya ya Fizi mkoa wa Kivu ya kusini mashariki mwa DRC wanasema kuwa wanakabiliana na uhaba wa chakula. PAM (WFP) shirika la
Beni : zaidi ya watu 70 wauwawa katika kipindi cha siku 6
Zaidi ya watu 70 waliuwawa katika kipindi cha siku sita zilizopita katika wilaya ya Beni , Kivu kaskazini katika vijiji mbali mbali mashariki mwa DRC. Waliotekeleza mauwaji hayo ni waasi
Fizi : mapigano kati ya kundi la Mai Mai na Twirwaneho
Mapigano makali yanaripotiwa tangu asubuhi ya jumatatu hii kati ya kundi la Mai Mai Biloze Bishambuke dhidi ya wapiganaji wa kundi la silaha la Twirwaneho linaloundwa na vijana Banyamulenge. Makundi
Burundi : chama cha CNL kiliadhimisha miaka minne kwa shangwe
Chama cha CNL kiliandaa Kongamano la kawaida kuadhimisha miaka minne ya uhai wa chama hicho tarehe 12 machi. Mbele ya ma elfu ya wafuasi pamoja na wageni wakiwemo wajumbe wa
Goma: ma mia ya visa vya ubakaji yaripotiwa eneo la Kanyarutchinya
Visa vya unyanyasaji wa kijinsia viliongezeka katika kijiji cha Kanyarutchinya wilayani Nyiragongo na Bulengo magharibi ya mji wa Goma Kivu kaskazini tangu kuibuka tena kwa kundi la M23. Viongozi wa
