Human Rights

Human Rights

Mahama (Rwanda) : huduma mbaya za matibabu

Wakimbizi katika kambi ya Mahama wanalalamika kuwa hupewa huduma mbaya za matibabu kwenye vituo vya afya. Hali za dharura ndizo zinashughulikiwa peke. Hayo ni wakati mratibu mpya katika sekta ya

Politic

Kirundo : kiongozi wa Imbonerakure azuiliwa jela

Kiongozi wa Imbonerakure (mjumbe wa tawi la vijana la chama cha CNDD-FDD) mkaazi sa kata ya Nyange-Bushaza kwenye makao makuu ya Kirundo (Kaskazini mwa Burundi) amemaliza wiki moja akiwa katika

Security

Masisi: wakaazi wanaomba amani kupatikana kabla ya kujiandikisha kwenye uchaguzi

Wananchi wakaazi wa wilaya ya Masisi katika mkoa wa Kivu-kaskazini wanatoa wito kwa viongozi kumaliza tatizo la usalama mdogo kabla ya kuanza kwa zoezi la kuorodhesha wapiga kura eneo hilo

Society

Muramvya: the provincial prison remains overcrowded despite the release of around twenty detainees

Twenty-seven prisoners from Muramvya and Mwaro provinces (central Burundi) were released from Muramvya central prison earlier this month, as part of decongesting jails, prison officials say. However the move is

Human Rights

Photo of the week : Burundi : Burundian authorities have arrested the fifth activist and sent to jail the team suspected of funding terrorism

The minister in charge of internal affairs and security announced Thursday the arrest of another member of associations. This is Prosper Runyange, in charge of the land program within the

Human Rights

RDC-EAC: mchakato wa kuhakiki na kufuatia hali mashariki mwa DRC unaelekea kuanzishwa

Jumuiya ya Afrika mashariki inapanga kutuma wajumbe wa mchakato wa kuhakiki na kufuatia hali mashariki mwa DRC ambao ni muhimu sana ili kumaliza mzozo. Hayo ni kulingana na tangazo lililowekwa

Security

Goma: mwandishi wa habari Jimmy Shukrani Bakomera aachiliwa huru

Mwenzetu huyo amechikiwa huru ijumaa hii asubuhi. Alikuwa katika gereza la ANR ( idara ya ujasusi ya Kongo) katika mji wa Goma (makao makuu ya mkoa wa Kivu kaskazini) tangu

Security

Burundi : viongozi wanahakikisha kukamatwa kwa mwanaharakati mwingine na kumuweka gerezani huku timu yote ikituhumiwa kufadhili ugaidi

Waziri anayehusika na mambo ya ndani na usalama alihakikisha rasmi kukamatwa kwa mjumbe mwingine a wa mashirika. Jina lake ni Prosper Runyange anayehusika na maswala ya ardhi katika shirika la

Security

Goma: mwandishi wa habari azuiliwa na idara ya ujasusi

Jimmy Shukrani Bakomera mwandishi wa habari na ripota wa VOA (Sauti ya Amerika) Kirundi-Kinyarwanda anazuiliwa na idara ya ujasusi ya Kongo tangu alhamisi hii. HABARI SOS Médias Burundi Mwenzetu huyo

Society

Burundi : authorities arrest the fifth activist, jail the team suspected of funding terrorism

The minister in charge of internal affairs and security announced Thursday the arrest of another member of associations. This is Prosper Runyange, in charge of the land program within the