Kirundo : two men sentenced to life jail for the murder of a woman
Kirundo : two men sentenced to life jail for the murder of a woman
It is the Kirundo court in northern Burundi that sentenced them. Among the defendants, the husband of the victim. The two men were tried in a flagrance trial. INFO SOS
Makamba : chumba cha kuhifadhi maiti hakifanyi kazi kwa takriban mwaka mmoja sasa
Kwa mjibu wa wafanyakazi kwenye hospitali hiyo ya Makamba ( kusini mwa Burundi) pamoja na familia zilizokosa watu, chumba cha kuhifadhi maiti sasa ni takriban mwaka mmoja kikiwa hakifanyi kazi.
Burundi : kitita cha milioni 21 chatolewa na benki ya afrika ya maendeleo kwa ajili ya kuendeleza sekta ya kilimo
Mikoa ya kaskazini mashariki mwa Burundi ambayo ni : Ngozi, Kirundo na Muyinga itanufaika na mradi hui kwa kutengeneza mabonde ya mito mingi. Lengo ni kuongeza mavuno ya kilimo kwa
Rwanda-DRC : jeshi la Rwanda lashambulia ndege ya kivita ya Kongo ndani ya anga ya Kongo (Tangazo)
Serikali ya Kongo inatuhumu jeshi la Rwanda kushambulia ndege yake ya kivita ya Kongo ndani ya anga ya DRC. Ni kulingana na tangazo la viongozi wa Kongo la jumanne hii
Mahama (Rwanda) : zaidi ya wakimbizi elfu moja hawajapewa mlo wao tangu miezi mitatu iliyopita
Zaidi ya wakimbizi elfu moja idadi kubwa wakiwa kutoka Burundi hawapewa chakula sasa ni miezi mitatu. Kawaida, wanapewa chakula kila baada ya mwezi. Wakimbizi wanapewa pesa za Rwanda kwenye kadi
Nyabitsinda: a CNL headquarters destroyed and burned
A CNL party headquarters on Nyaruganda hill was destroyed and burned during the night of 19 January. It is in the commune of Nyabitsinda (province of Ruyigi, eastern Burundi). The
Mahama (Rwanda): more than a thousand refugees have not received a ration for three months
More than a thousand people including mostly Burundian refugees have no ration for three months. Normally distributed monthly, the ration is given as money in Rwandan currency on beneficiaries’ bank
Kirundo: a woman found hung in her room
A woman was discovered on Monday morning, hanging in her bedroom.The husband of the victim, a soldier assigned to the Makamba camp (southern Burundi) is suspected of having simulated the
Rwanda: wakimbizi wa Kongo walalamika mbele ya ubalozi tofauti mjini Kigali
Wawakilishi wa zaidi ya wakimbizi 70.000 kutoka Kongo wanaopewa hifadhi nchini Rwanda waliwasilisha waraka kwenye balozi tofauti mjini Kigali jumatatu hii tarehe 23 januari ili kufahamisha jamii ya kimataifa kusaidia
Rwanda: more than 3,000 new Congolese refugees received
UNHCR Rwanda announces that it keeps receiving Congolese fleeing their country. Over 3000 have already arrived in a few weeks and a new transit site has been set up in
