Posts From Jean Ntumwa
Kira Hospita case: Swissmed International LTD protests against a meeting convened
This Monday, Charles Ndagijimana, acting chairman of the board of directors of Kira Hospial called an extraordinary session of the board. Agents of Swissmed International LTD, which is the main
Burundi: Vinywaji vya Brarudi kupanda bei
Tangu jumapili 16 oktoba, vinywaji vya Brarudi (Kiwanda cha kutengeneza vinywaji nchini Burundi) vilipandishwa bei. Bei ilipanda kati ya franka 200 na 700 kwa chupa moja. Wanunuzi wanalaani kuwa bei
Kabarore : teachers forced to give contributions
Teachers in the Kabarore district, in the province of Kayanza (North Burundi) are forced to contribute money to finance projects of the ruling CNDD-FDD party. The concerned denounce what they
Cibitoke : Zaidi ya waasi wa Rwanda 40 waliuwawa na jeshi la Burundi
Takriban waasi 42 wa kundi la watu wa silaha wanaozungumza lugha ya Kinyarwanda ambao walipiga kambi kwa zaidi ya miaka 10 ndani ya msitu wa Kibira katika tarafa za Bukinanyana
Cibitoke : over 40 Rwandan rebels killed by the Burundian army
At least 42 rebels belonging to a Kinyarwanda-speaking armed group established for more than a decade in the Kibira natural reserve in the districts of Mabayi and Bukinanyana in the
Gitega: the lack of avocados leads to higher prices on the market
Taking a tour of small markets located in various neighborhoods of the city of Gitega (political capital), our reporters noted a very significant increase in the price of avocados. The
Minembwe : kundi la Mai Mai limemuuwa mzee mmoja na kupora ng’ombe 150
Ndagara Buhimba (Miaka 80) aliuwawa siku ya jumatatu alasiri. Kundi la Mai Mai lilirejuhi pia watu 2 na kuiba ng’ombe 150. HABARI ya SOSMedias Burundi Muhanga alikuwa katika malisho yaliyo
Tanzania : zaidi ya wakimbizi 4750 wa burundi wamekamatwa kwa kipindi cha miezi minne wakijaribu kwenda katika za ukanda huu
Takwimu hizo zilitolewa na huduma ya uhamiaji katika tarafa ya Kakonko, kanda ya kigoma (kaskazini-magharibi mwa Tanzania) ambako wahusika wanapitia. Ilikuwa alhamisi hii. Kulingana na ushuhuda wa wakimbizi, wanataka kukimbia
Burundi-RDC : Burundi inatuma kwa mara nyingine wanajeshi nchini Kongo
Kwa mjibu wa katibu wa kudumu wa baraza la kitaifa la usalama, kundi la pili la wanajeshi wa burundi limewasili kwenye ardhi ya kongo jumatano hii. Wakati ambapo kikosi cha
Uganda : Ngoma za asili za Burundi zinaelekea kupigwa marufuku nchini Uganda
Ubalozi wa Burundi mjini Kampala Uganda umetoa tamko la kukataza kucheza ngoma kwenye ardhi ya Uganda. Ubalozi huo umewaamuru ma kundi ya wachezaji wa ngoma za asili nchini humo kurudisha
