Refugees
Uganda : Ngoma za asili za Burundi zinaelekea kupigwa marufuku nchini Uganda
Ubalozi wa Burundi mjini Kampala Uganda umetoa tamko la kukataza kucheza ngoma kwenye ardhi ya Uganda. Ubalozi huo umewaamuru ma kundi ya wachezaji wa ngoma za asili nchini humo kurudisha